Dah...kama ukitumia njia hizi…..na asikulipe...basi hilo deni nitalilipa mimi...nitaomba mawasiliano yake tu...kuna kazi atanifaa 🤣 🤣🤭Zipo njia mbili na ngumu kidogo mie niliona zimefanikisha kwangu,nenda kwake kakae sebulen usindoke hd amekupa chako kaa hapo,kula hapo mda wote mkewe akuone upo ht km ni wiki mbili kaa hapo,pili fanya upelelezi ujue siku yupo nyumban esp jumapili asbh ya saa nne anzia mtaa pili vua nguo watu wakianza kukufuata kwa wingi tembea hadi kwake zama ndani hutoki humo hadi ulipwe,km utaweza fanya hivo
Anategemea mshahara na boss wake alishanishauri nimpeleke mahakamani
Fanya kumuibia tu ndo njia pekee uloisahauNimemfuata kiustarabu imeshindikana, nimemfuata kiukali lkn wap, nimeongea na watu wake wa karibu pamoja na familiya yake nimeambulia patupu, nikamtishia kumpeleka mahakamani akasema hatukuandikishiana popote hamna shahidi, sasa jamani nitumie njia gan nyingine nilipwe deni langu? Naombeni ushauri
Hesabu hasara kama hasara zingine!Kusamehe ni ngumu sana mm mwenyewe maji shingoni
Nadhani njia ya Rahisi ni kumchtaki kwa mungu. Njia nyengine ni ngumu kidogo...Nimemfuata kiustarabu imeshindikana, nimemfuata kiukali lkn wap, nimeongea na watu wake wa karibu pamoja na familiya yake nimeambulia patupu, nikamtishia kumpeleka mahakamani akasema hatukuandikishiana popote hamna shahidi, sasa jamani nitumie njia gan nyingine nilipwe deni langu? Naombeni ushauri
Huyo atakua mama ntilieSasa Mimi nadaiwa elfu mbili tu na jamaa lakini imekuwa ngumu kuipata nikamlipa
Yupo mbali na maeneo ninayokatizagaHuyo atakua mama ntilie
Vip ushapata chocho nyingine ya kupita ili asikuone?