Executor
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 872
- 999
- Thread starter
- #141
Ntaifatilia hii but naona hii 24 inaendana na deep state, itafute deep stateView attachment 1261594
Mapenzi
Usaliti
Uzalendo
Unafiki
Haki za raia
Uongozi usiofuta katiba na sheria
Uovu na uonevu wa viongozi waliopo madarakani.
KIFUPI NDANI YA 24 HRS kuna mengi sana ya kujifunza.
Usione watu wapo Ikulu tu au ktk nafasi fulani
Binafsi natazama hii na ile ya STRIKE BACK!