Recent content by kinamba

  1. kinamba

    Msaada wa tafsiri ya ndoto

    Shukrani mkuu... Nitafanyia kazi ushauri wako...
  2. kinamba

    Msaada wa tafsiri ya ndoto

    Naomba mwenye kutafsiri hii kitu imenikuta leo.... ni maelezo marefu kidogo lakini nimejaribu kuelezea in details zote.. Kuna kitu kimenitokea usiku wa leo inaweza kuwa ndoto lakini i feel it was more real.. Nilianza kuota kama nipo kwenye bas then nikamuona mtu ambae nilisoma nae sekondari...
  3. kinamba

    Tambua Best Python Resources na Pakua Hapa Vitabu Bora vya Kujifunza Lugha ya Python

    Wakuu naomba access ya hiyo link ya kudownload hivi vitabu.. Natanguliza shukrani..
  4. kinamba

    Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

    Gari la mkurugenzi halijanunuliwa baada ya baraza la madiwani kuvunjwa.
  5. kinamba

    Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

    Huu ni uwongo uliotukuka, Mwakabibi kama binadamu ana mapungufu yake mengi tu.... ila kwa haya mnayosema hapana... uwepo wa mahabusu kwa ajili ya watumishi wachelewaji ni uzushi uliotukuka kabisa. Hiyo mahabusu isemayo ni kwa ajili ya watu wanaokamatwa kwa kutokuwa na leseni za biashara na...
  6. kinamba

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Barcelona huwa anakuwa hatar sana kuanzia dakika kama ya 70 hivi... Livepool asipokuwa makini anakunywa nyingi kipindi hicho
  7. kinamba

    Halotel waja kivingine

    Sasa huo utani mb 500 per day[emoji28][emoji28].. yaan hizo hata saa moja hazimalizi
  8. kinamba

    Halotel waja kivingine

    Hapo kwenye 15gb (500/day) sijapasoma fresh
  9. kinamba

    Mmarekani mweusi auawa na Polisi mwanamke kwa kufuata kile Polisi alichokisema

    Huyo jamaa kakitafuta kifo mwenyewe kaambiwa mara kadhaa aweke silaha chini hakutii... Na alivyoamua kuweka askar alihisi anataka kuitumia ndio maana akamshoot
  10. kinamba

    Mkasa wa kweli : Kilichonikuta Iyole sitakaa nisahau

    Story nzuri.... Nimeipenda.... Hapa nasubiri muendelezo wake tu
  11. kinamba

    Rais Omar al-Bashir wa Sudan alazimishwa na Jeshi kutoka Madarakani. Inadaiwa kajiuzulu, Uwanja wa Ndege wafungwa

    Nina amini utawala wa kidikteta huwa una mwisho. Inaweza chukua miaka hata ishirini lakini sio milele, iko siku wananchi watachoka na wataliazisha. Kuna mtu alijua kuwa omar al bashir atatolewa na jeshi lake, je raisi wa algeria atang'oka ilhal amekaa madarakan miaka kibao. Hili ni somo kwa...
  12. kinamba

    Shafii Dauda ni mchambuzi uchwara, hafai hata kuchambua rede

    Mwenyeezi mungu (s.w) Sent using Jamii Forums mobile app
  13. kinamba

    Azamtv pekee ndio wapo juu ya sheria

    Weeewe sio channel za bure hizo....
  14. kinamba

    Daladala nzima tukaanza kumsifia Rais Magufuli

    Sio kila mtu ana muda wa kuropokaropoka kwenye daladala..... Wengine wana mambo muhimu zaidi ya kufikiria
Back
Top Bottom