Arduino Sentinel
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 203
- 274
Community ya Python ipo vizuri sana katika kushare detailed resources and kusaidia beginners kujifunza lugha hii,Kuna resource nyingi sana ambazo ziweza kuwa ni vigumu kupatikana kwa wengine,either uwe Pro au Beginner,ndo maana nimeandika uzi huu ili kusaidia wataohitaji msaada huu.Kama utakua na resources nyingine ambazo sijataja,usisite kuongezea.(Nimeambatanisha na google drive link ya archive(.zip) ya vitabu vyote ambavyo ni pdf format,unaweza ku nunua Amazon pia)
Kwa Beginners kabisa ambao ndio wanataka au wameanza kujifunza Programming from scratch through lugha hii,check hizi resource hapa chini.
Kwa Experienced developers ambao ni wageni kwa Python chekini hizi resources
Baada ya Basics
List ya Curated Python Packages
Newsletters
Kwenye archive nimeambatanisha na vitabu vingine ambavyo sijavitaja,Sio lazima usome vyote ndo uwe umemaster kila kitu,angalia kile ambacho utakielewa,pia make google your very very best friend,jiunge kwenye other international forums kama,'Stack Overflow','DaniWeb' etc etc.
Google Drive Link ambayo waweza download Archive yenye Vitabu vyote
All The Best!!
Kwa Beginners kabisa ambao ndio wanataka au wameanza kujifunza Programming from scratch through lugha hii,check hizi resource hapa chini.
- Pitia 'Getting Started' Page on Learn To Code With Me by Laurence Bradford,anaelezea hatua wanazotakiwa beginners wachukue kama bado hawajui mwelekeo wao.
- Video ya Takribani dakika tano inayo elezea Kwanini ni bora kufikiria project unayotaka kubuild na matatizo unayotaka kusolve with Programming.
- Hello World!: Computer Programming for Kids and Other Beginners,Kukielewa unaitaji 'No experience kabisa".Ni kitambua kizuri kwa kuanza kwa beginners,kiko very straight foward,ukimaliza hiki kitabu,unakua umegain knowledge kubwa sana juu ya lugha hii,binafsi nimekisoma na kimenisaidia sana nilipokua naanza kujifunza Python,sio lazma uwe beginner kabsa ndo ukielewe(nilikua tayar Knowlegde ya Java wakati nakisoma hiki)check link kukidownload hiki pamoja na vingine bure.
- Learn Python the Hard Way,hiki kitabu ni free by Zed Shaw,Kipo vizuri pia ,kama title inavosema,inabidi uwserious ukiwa unakisoma,ila kinaeleweka,(Kipo pia kwenye archive)
- Introduction Computation Programming Using Python,Hiki kitabu kimeandikwa na Profesor wa Computer Science and Electrical Engineering pale MIT,Professor John V.Guttag.Ni offical text book kwa undergradute program(Computer Science and Electrical Engineering).hiki kitabu utakielewa vizur zaidi kama utakuwa unasoma na online course ambayo MIT (MITOPENCOURSEWARE) wanaoffer for freeIntroduction to Computer Science and Programming,(pia Kipo Kwenye archive)
- Dive into Python 3,Hiki kitabu ni open source,kinatolewa under Creative Common liences kiwa katika form ya html na pdf,so far ndo kitabu pekee tangu ni post kilicho base kwenye Python 3(kipo kwnye archive pia)
- A byte of Python,hiki kinacontain totorials za python,online(fata link),ila nimeambatanisha na pdf yake.
- Think Python: How to think like a Computer Scientist,kimetengenezwa na O'reilly,pia kinapatika in form of html,hakipo deep sana though.(pdf kwa archive)
- Pitia hii list ya Project tano za Python kwa beginners
- pia kuna online learning platforms kama Coursera{Hii ni best platform so far,unaweza earn certificate hatakama huna pesa(through 'Finacial Aid')ambayo sio ngumu kuapply(Mie pia currently nachuka many courses kule kama 'Ruby on Rails',nimeweka mfano wa certificate yangu ya ruby on rails ambayo ipo katika form ya specialization so kila ukimaliza spec moja unapata certificate).Platform nyingine ni edx,Udacity na nyingine nyingi.
- Make Google.com your Best Friend
Kwa Experienced developers ambao ni wageni kwa Python chekini hizi resources
- Learn Python in y minute ,kama unatokakwenye coding environment nyingine,ukipita hapa unajibrush vya kutosha kuusiana na Py.
- The Hitchhiker's guide to Python ina contain both Python lang infos na Community nzima kiujumla
- Python for you and me,ukipita na hapa pia utakua umedivi in mazima kwenye Python Community.
Baada ya Basics
- MIR NAZIM,hii site ina provide context za virtual machines,Python packaging,pip,virtualenv nk,unatakiwa uwe tayar unajua py basics sytanx.
- Python reddit,Huku kuna active community ambao wanatatua matatizo yote from Beginners mpaka advanced Python Programmers.
- Good to Great reads,Collection ya Python 'MUST-READs'
- Python Books,Collection ya Python,Django na Data analysis free books.
- Python IAQ,containts list ya quirky queries juu ya rare Python fetures na kwanini certain syntax zime au hazijawa builded kwenye lugha.
- Python Projects,hichi kitabu kimeandikwa na Laura Cassell akilenga Python programmers wenye basic skill na hawajui jinsi ya kuzi-imply,kuna tutorials na projects ndani yake(kipo kwenye archive)
- Python Programming for Arduino,hiki kitabu ni very fantastic,kwa wale ndugu zangu wa IoT,Programming Microcontrollers kwa python is a piece of cake.(kipo Kwenye archive)
List ya Curated Python Packages
- Github/awesome-python,list ya Python frameworks,liabries na software
- easy-python,hii ni kama awesome-python,tofauti ni kwamba,awesome-python ni just a Git Repository ila hii site of kwenye format ya Read the Docs.
Newsletters
Kwenye archive nimeambatanisha na vitabu vingine ambavyo sijavitaja,Sio lazima usome vyote ndo uwe umemaster kila kitu,angalia kile ambacho utakielewa,pia make google your very very best friend,jiunge kwenye other international forums kama,'Stack Overflow','DaniWeb' etc etc.
Google Drive Link ambayo waweza download Archive yenye Vitabu vyote
All The Best!!
