Recent content by kimyakingi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Yanga mlipeni hela zake Aucho na muache janja janja

    Nyie ile milioni 110 mlishalipa?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Tatizo wa Tz hatuna utamaduni wa kuheshimu system, ndio maana kuna wakati kilio kilikuwa ni nchi ipate kiongozi wa kutunyoosha, hizo nia njema hata zilipoachwa hazikupata kuisha kwa wema.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Waisraeli wa Tanzania

    Huo unaweza kuwa upuuzi kweli, totally biased na kuamini katika kuona kuliko kutafakari mambo! Au tuite kukosa maarifa?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Vimebaki viunzi vichache vya Lipumba, Kazeni kamba

    Dhambi ya ubaguzi. Mapalala nae alitumiwa?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Twiga awe nembo ya Tanzania?

    Tafiti kwanza
  6. K

    JamiiForums Tanzania Akili hizi za watanzania zina uhusiano na matokeo ya kishindo ya CCM?

    Ushindi haukutokana na ujinnnga wa watanzania. Walipima vya kutosha nani kati ya waliokuwepo alikuwa na sifa za kukabidhiwa uongozi wa taifa.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ukabila, ukanda ulivyoitesa Tanzania katika uchaguzi mkuu 2015

    Kukariri kubaya sana. Enhe inasaidia nini sasa? Kanda fulani walisoma mapema, so what? Hivi tumerogwa?
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya mwengine aongeza idadi medali za dhahabu, hongera

  9. K

    JamiiForums Tanzania Serikali imepata ugonjwa mbaya

    Watanzania nani ameturoga? Yaani ni mtu anaweka umbea tayari watu tunaotegemea wangeonesha walivyoelimika nao wanaanza kutiririka kwa "speculations" na maoni binafsi "opinions"! Au mfumo wetu wa elimu una kasoro? Au ndio ya vyeti bandia? Kwanini hatuoni constructive criticism? Zitusaidie kuona...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, huu ni mwanzo wa Tanzania kuporomoka kiuchumi?

    Bandari kukosa mizigo isyolipiwa kodi kuna ubaya? Au kunaweza kuwa kiashiria cha nchi kuporomoka kiuchumi? Tutayasikia mengi!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ninatafakari hatima ya CCM kama Lowassa angekuwa ni mgombea Urais wa CCM

    Hao kwa sababu wameonesha kutoaminika na kutojiamini kwa kuacha kusimamia wanachokiamini ,na kushirikiana na waovu kwa maslahi yao, dawa yao ni kutowpigia kura
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa mambo ya ndani alia mbele ya raisi Kikwete

    San:,1?1 s Mkm mov Z ni
  13. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa tafadhali tumia busara tuiondoe CCM 2015

    Wale mnaoshabikia matukio, na " imani kwa viongozi" mmeshawahi kujiuliza kuhusu ni itikadi gani mnaifuata katika kuleta mabadiliko ya uongozi wa nchi kupitia mfumo wa vyama vya kisiasa? Kwa mfano mnaamini katika kufuata maadili au hata jambazi anaweza kuwa Rais ili mradi atawapa ushindi? Kama...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mabibi harusi wengi wanapenda kulia siku ya ndoa?

    Labda huwa wanawaza namna walivyo "tendwa" mara kadhaa siku za nyuma . Na ile hofu kwamba itakuwaje na huku nikitendwa? Kiujumla ni kukosa kujiamini labda.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa ACT - Wazalendo viwanja vya Furahisha Mwanza

    Mnatufumbua macho!
Back
Top Bottom