kimyakingi
Member
- Dec 23, 2014
- 21
- 10
Tafiti kwanza
Mkuu asante na wewe. Lakini sio lazima kitu kiandikwe na mtanzania ili kiwe na ukweli. Haya naona umekuwa ''tomaso'' hivyo ngoja nikupeleke nyumbani i.e. tovuti ya serikali ya ya Jamhuri ya Muungano. Nao wameandika: The giraffe is a graceful animal whose long neck represents the ability to be visionary while still viewing the past and present. The giraffe reminds Tanzanians to increase their understanding by viewing life from all angles. The giraffe also reminds Tanzanians to use their strength and flexibility to align the physical, mental and spiritual as the giraffe. (Tovuti Kuu ya Serikali: Mnyama wa Taifa)Mkuu nashukuru.
Huo mtandao na zingine zilishazipitia. tatizo ni kwamba imeelezwa kidogo sana na inaonekana haijaandikwa na mtanzania. Nilidhani kuna kijitabu kina details zaidi.
Hahahahaaa, basi paka ataiwakilisha zaidi mji wa sumbawanga. Wana sumbawanga msinirushie mawe... natania tuumm ningempendekeza paka maana tz wachawi hatutaki mtu afanikiwe

Hii nzuri mkuu, ngoja nikaicheki.Mkuu asante na wewe. Lakini sio lazima kitu kiandikwe na mtanzania ili kiwe na ukweli. Haya naona umekuwa ''tomaso'' hivyo ngoja nikupeleke nyumbani i.e. tovuti ya serikali ya ya Jamhuri ya Muungano. Nao wameandika: The giraffe is a graceful animal whose long neck represents the ability to be visionary while still viewing the past and present. The giraffe reminds Tanzanians to increase their understanding by viewing life from all angles. The giraffe also reminds Tanzanians to use their strength and flexibility to align the physical, mental and spiritual as the giraffe. (Tovuti Kuu ya Serikali: Mnyama wa Taifa)
ati simba akiunguruma wengine wanakaa kimya. kwa taarifa yako, simba akiunguruma tembo huwa anamfukuza kwa mkonga wake tu..huku akisema "we fala nn hebu kausha!".Aisee bora simba ni mfalme wa nyika. Akiunguruma wengine kimyaaa.. sasa twiga yeye kutembea kwa maringo tuu... halafu hanaga haraka.
Kweli mkuu. Tembo ndo mambo yoteati simba akiunguruma wengine wanakaa kimya. kwa taarifa yako, simba akiunguruma tembo huwa anamfukuza kwa mkonga wake tu..huku akisema "we fala nn hebu kausha!".

Vipi kuhusu kwenda haraka kiuchumi, hapo twiga tutamtumiaje au tutaenda nae hivyo hivyo.

Baadae mtasema mnataka rais mrefu.we bwana weeee...
hujui tunataka kuwa warefu..uchumi mrefu, siasa ndefu, pesa ndefu, maisha marefu.,utamaduni mrefu. twiga anatutangazia mbuga zetu na utalii mrefu...
hahahaha mkuuHuyo tigwa anawakilisha upole na uvumilivu walionao watanzania.