Je, huu ni mwanzo wa Tanzania kuporomoka kiuchumi?

Bandari kukosa mizigo isyolipiwa kodi kuna ubaya? Au kunaweza kuwa kiashiria cha nchi kuporomoka kiuchumi? Tutayasikia mengi!
 
Ukifanya comparative analysis ya kipindi cha sasa na cha tawala nyingine kwa kipindi kama hichi. Bado huu utawala umeshafanya mengi sana. Sema kuna watu tumegundua ni mabingwa wa kufanya lobbying kupinga juhudi zote zinazofanywa na Rais akati watu wenye akali wanaona mengi yana manufaa kwa taifa.
Jitihada kubwa zinafanyika ili nchi iendeshwe kwa mtindo wa 'business as usual' Ni kasehemu ka watu walioguzwa na kuathiriwa ba haya mabadiliko na wanajitahidi kuyazuia'
 
Ntakesha nikifanya hivo. Labda nikuulize tu wewe - kudumaa kwa sector ya usafiri wa anga na biashara kuwa ngumu mtaani umevipima kwa viashiria gani? Na unipe na ufanano na vipindi vilivopita.
mambo ya uchumi achia wachumi sasa Biashara kuwa ngumu Mtaani unataka ipimwe kwa vipimo gani au unataka pepa iliyoandikwa na Profesa ndio uaamini
 
Ulizoandika ni Story tu! Tumaini la kufanikiwa kiharali kwa sasa ni kubwa kuliko ilivyo kuwa huko nyuma. Tukazeni wanangu tutoboe!!
 
we
Mfano unaposema "mabenki yamenyang'anywa pesa na serikali" lazima unifanyie tafiti na uje na mahesabu kutoka kwenye benki zote Tanzania. Kisha uniambie serikali ilikuwa na akauti kwenye mabenki ya kibiashara zipatazo kadhaa zilizokuwa na total ya Shilingi kadhaa. Kisha usiishie hapo uende pia kwenye balance sheets za mabenki ufanye comparison ya ni kiasi gani kila benki ilipoteza kutokana na sera za serikali.

Halafu pia ntataka uniambie je ni kweli hizo deposits zote za serikali kwenye mabenki zilikuwa zinazalisha? ikiwa na maana kama zilikuwa benki za kibiashara wanazitoa kama mikopo ili wapate pato la riba?

Ndo mana nasema nikisema nikujibu kwenye hoja zote hizo ntakesha kwa sababu wengi mnaongea mambo msiyoyajua kutoka kwenye vijiwe vya kahawa. Wala hata hapa sijakujibu chochote kuhusu hii point ya benki ila nimekuonesha kwamba uache kuzungumza na kutoa declarative statements kwa vitu vya kitaalamu usivovielewa kwa kina. Over
hivi unajielewa ww mbona unajijibu mwenyewe!! hata kama serikali ilikuwa inaweka Tsh 1 kwenye bank A pindi itakapoondoa hiyo shs 1 lazima itakuwa na athali ya kiuchumi ya Tshs 1.
 
Mfano unaposema "mabenki yamenyang'anywa pesa na serikali" lazima unifanyie tafiti na uje na mahesabu kutoka kwenye benki zote Tanzania. Kisha uniambie serikali ilikuwa na akauti kwenye mabenki ya kibiashara zipatazo kadhaa zilizokuwa na total ya Shilingi kadhaa. Kisha usiishie hapo uende pia kwenye balance sheets za mabenki ufanye comparison ya ni kiasi gani kila benki ilipoteza kutokana na sera za serikali.

Halafu pia ntataka uniambie je ni kweli hizo deposits zote za serikali kwenye mabenki zilikuwa zinazalisha? ikiwa na maana kama zilikuwa benki za kibiashara wanazitoa kama mikopo ili wapate pato la riba?

Ndo mana nasema nikisema nikujibu kwenye hoja zote hizo ntakesha kwa sababu wengi mnaongea mambo msiyoyajua kutoka kwenye vijiwe vya kahawa. Wala hata hapa sijakujibu chochote kuhusu hii point ya benki ila nimekuonesha kwamba uache kuzungumza na kutoa declarative statements kwa vitu vya kitaalamu usivovielewa kwa kina. Over
ata akifanya ivyo na bado 2 hutamwamin we fanya kama tetes flan iv af ztafutie ukwel
 
kuna miki2 uku imejvka kujua kwing kumbe inautando kwenye fikra zao m2 kaandka maon yake anaomba anayeyajua kiundan amsaidie af mik2 uku inaanza kukrtcz haya n mawazo ya m2 hupasw kumpnga ila unaweza kumshaur 2 ili kumsaidia
 
hata mm nimeona kua hali ngumu balaa, huku baadhi ya wafanyakazi wa serikali walio ajiriwa hiv karibuni kusimamishwa, baadhi hotel kua hostel, na napia kila mfanya biashara analalamika kua hela hamna, hata baadhi ya benki zilisitisha mikopo, huku bei ya vitu kupanda bei.
 
Tangu mwaka huu uanze kumekuwa na mambo fulanifulani yanayoendelea hasa katika uelekeo hasi hali ambayo inatupa wasiwasi kidogo huku mtaani.

Mfano
1: Bandari kukosa kazi na wafanyakazi wa bandari kavu kuanza kupunguzwa

2. Madaktari wa interns kufutiwa posho

3. Madaktari sekta binafsi kupunguziwa mshahara kwa 30%

4. Viwanda kupunguza wafanyakazi

5. Ajira za serikali kusitishwa

6. Kuyumba kwa sekta ya utalii

7. Wanafunzi kucheleweshewa mikopo

8. Mabenki kunyang'anywa pesa za serikali, baadhi ya mabenki yanaweza kufa kwa kuwa hayakuwa na mitaji ya kutosha

8. Kudumaa kwa sekta ya usafiri wa anga

9. Biashara kuwa ngumu mitaani
10. N.k

Naomba watalamu mbalimbali watusaidie kuelewa haya yanayoendelea na nini matokeo yake baada ya miaka 2 au 3 ijayo...

Tafadhari kama huna mchango chanya bora kukaa kimya tuwape nafasi waelewa
Umeona hayo ndo ikonomiki indiketa
 
Hakuna daktari aliye futiwa posho wizara imesha kanusha!

Kuhusu mishahara ya madaktari kumefanyika marekebisho ambapo madaktari wa bugando walikuwa wanalipwa pesa zaidi kuliko wa hospitali nyingine za MOU na serikali kwa hiyo kusema madaktari wa hospitali binafsi wamepunguziwa mshahara 30% ni uongo kwani si kila hospitali binafsi hiko ndani ya MOU hivyo nakuomba uache upotoshaji!

Watanzania wana miliki viwanda vya kutengeneza uongo-JK.
 
Umeandika siasa tu.. zaidi ya asilimia 80 ya ulivyoviandika hutaweza kuvitolea ushahidi. Bali umeandika tu kwa kusikia huko vijiweni.
Hivi wewe upo nje ya nchi nini..?
Maana tuliopo nchini kila mtu anaisoma namba.
Sometimes jaribu kuwa mkweli uwe huru acha unafiki.
 
Back
Top Bottom