Recent content by kimemie

  1. K

    JamiiForums Tanzania Chenge: Mimi ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa

    Fix tupu... na humpati mtu hapa!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Kuna nini nyuma ya pazia?

    Yana jiandaa kutoa sadaka kusaidia chama fulani kwenye kampeni za uchaguzi mkuu na kura ya maoni kuhusu katiba. Because otherwise there is no justification on it. Tigo said expansion...i dont about voda. Sasa kama sisi tunalipia moja kwamoja expansionzao kwa nini wasitupataie share??
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Phil Wesonga: Tanzanians rating soar as Kenyans turn into global laughing stock

    Phillemon Mikael What a clasic analysis.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wazuri sana wa sura ila matumbo makubwa

    Mhdiwani Tehe tehe tehe Sipendi kabisaa matumbo kama mwembe.Halafu utakuta kavaa kivazi kime shindiria tumbooo mpaka hovyo yeye anaona katooka
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tumbili adhulumiwa kimapenzi...

    I know he has something to share with us.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tumbili adhulumiwa kimapenzi...

    Whwre is MK254??,
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wayahudi na Waislamu waungana Norway

    Aaaah wa anza sasa! Am one of ua critisizer
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wayahudi na Waislamu waungana Norway

    Nili maanisha kitu chema any way! Bbc ameionyesha wazi!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wayahudi na Waislamu waungana Norway

    Mk254 wakati fukani huwa unakuwa na vitu zuri sana...kwa jamii
  10. K

    JamiiForums Tanzania Makubaliano Mapya ya EAC: Je, ni hatua ya kututenga Watanzania?

    Umechelewa!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Makubaliano Mapya ya EAC: Je, ni hatua ya kututenga Watanzania?

    Noon of my Business. Kuna watu wanalipwa mishahara mikubwa na kazi yao ni usalama wa nchi hii na kufuatilia watu kwa mtizamo mbali mbali. Kama mimi niwapeleke means watok3 na nikae kwenye hicho kiti chao
  12. K

    JamiiForums Tanzania Makubaliano Mapya ya EAC: Je, ni hatua ya kututenga Watanzania?

    Nachoweza kukwambia kama upo Dar fanya utafiti na kama haupo Dar uliza. Ama pitia report ya Bunge kamati ya Ardhi kwa nyongeza tuu. Na wala kama haijuwi kile kinaenderea kwa 80%
  13. K

    JamiiForums Tanzania Makubaliano Mapya ya EAC: Je, ni hatua ya kututenga Watanzania?

    kabombe;11976062]Tanzania ina sheria ngumu sana za ardhi.hao ni kama wamekodi tu.siku yoyote jamhuri inaweza kuitwaa tena bila fidia.mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi.ndio maana wakenya wanakasirika Kombe sio kweli hata kidogo labda kama unaishi inje ya Tanzania. Wana nunua na wanapata 99yrs...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Makubaliano Mapya ya EAC: Je, ni hatua ya kututenga Watanzania?

    Vipi wachina wanao sukuma hata mikokotena hapa Tanzania. Hatuwaoni ama nikiburi tuu cha ubinafsi dhidi ya majirani?? Wachina wana nunua Ardhi kqma njugu ndugu zangu. Shituka na amka sasa wee mtanzania
  15. K

    JamiiForums Tanzania Picha: CHADEMA Mbeya leo, itifaki ya ulinzi imezingatiwa

    Ndugu zangu wa Tanzania. Vikundi hivi vya CCM,CUF,CDMA havifai hata kidogo. Japo kimtazamo ni matokeo ya chama tawala kulitumia jeshi kwa upande mmoja. Rwanda ilikuwa nivikunfi hivivi na matokeyake ndiyo woote tume yaona. Naumia sana na huu mfumo wa vikundi vikundi at mara grean brgd mara red...
Back
Top Bottom