Foundation
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 1,420
- 613
Serikali ya Tanzania ndiyo imeukataa mpango huo ili kulinda ajira za waTZ.
Inalinda kwa wana East Afrika, inaachia kwa wachina. Pata potea hiyo
Serikali ya Tanzania ndiyo imeukataa mpango huo ili kulinda ajira za waTZ.
Mwehu kabisa wewe.
Mkuu wala usitende dhambi kumtukana huyo Mnyarwanda / Mkenya. Hapa TZ ndiyo kila kitu watuacheeeeee.....wakwende zao huko. Ili Mkenya, Mganda au Mnyarwanda apate kazi hapa Tz inabidi kuangalia kazi ambayo mTZ hawezi kufanya ndiyo tutawapa hicho kibali. Mti wenye matunda ndiyo hupigwa mawe.
Tanzania ina sheria ngumu sana za ardhi.hao ni kama wamekodi tu.siku yoyote jamhuri inaweza kuitwaa tena bila fidia.mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi.ndio maana wakenya wanakasirikaVipi wachina wanao sukuma hata mikokotena hapa Tanzania.
Hatuwaoni ama nikiburi tuu cha ubinafsi dhidi ya majirani??
Wachina wana nunua Ardhi kqma TTnjugu ndugu zangu.
Shituka na amka sasa wee mtanzania
Kawaida ya waswahili biashara imewashinda munayojua tu ni kuongea, mbona mleta uzi kababaika eti munatengwa.tuliwatenga kitambo sababu tumewajua enyi wavivu na kuongea tu basi, ikiwa munazo seaports, airports hata kindege kimoja kimewashinda kukimudu nani atawaheshimu na kufanya kazi na nyinyi, hatuwahitaji wavivu mutuachie E.Africa yetu muende SADC, yani kwa dharau rais wenu hakupokelewa JKIA nairobi kuonesha tulivyowadharau. eti madini, gesi mutawezana nazo ikiwa makampuni ya serikali yanaporomoka kila siku, uswahili utawaua nyinyi wabongo
Ninafikiri Sadc ndiyo ushirikiano unaotufaa zaidi kuliko EAC.
Vipi wachina wanao sukuma hata mikokotena hapa Tanzania.
Hatuwaoni ama nikiburi tuu cha ubinafsi dhidi ya majirani??
Wachina wana nunua Ardhi kqma njugu ndugu zangu.

Pumbafu kabisa
kabombe;11976062]Tanzania ina sheria ngumu sana za ardhi.hao ni kama wamekodi tu.siku yoyote jamhuri inaweza kuitwaa tena bila fidia.mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi.ndio maana wakenya wanakasirika
Kombe sio kweli hata kidogo labda kama unaishi inje ya Tanzania.
Wana nunua na wanapata 99yrs title deed.
Kazi zoote wanafanya wao..hadi kusukuma mkokoteni.
Kama uko Tzani haya ninayo sema niwazi umeyashuhudia achilia mbali kiendesha magari ya mizigo.
Hivi sasa Uganda imetoa kibali cha kuruhusu raia wa Kenya na Rwanda kuwa huru kuingia nchini humo na kufanya kazi ambazo raia wa Uganda wanafanya. Kwa maana nyingine, ikotokea kuna nafasi ya ajira, Mkenya na Mnyarwanda ruksa kushiriki kwenye mchakato wa usahili!
Lakini hatua hiyo kwa nchi hizo tatu imeenda sambamba na kututenga Watanzania katika makubaliano hayo. Je, huu ni mwanzo wa jitihada za muda mrefu za kututoa kwenye picha? Au ni uoga wetu tu Watanzania wa kutokuwa tayari katika ushindani wa kitaaluma kwenye soko la ajira?
Hapo wanalipa kodi kubwa na Sq metre moja la eneo wanatozwa pesa kubwa sana kwa sababu wanawekeza halafu sidhani kama kama kuna hati miliki ya miaka 99 hiyo ilishaachwa labda kama walikuwa nayo muda mrefu lakini sasa hivi ni 33yrs, labda mwingine kama anafahamu zaidi atujuze.