Wazuri sana wa sura ila matumbo makubwa

Wazuri sana wa sura ila matumbo makubwa

kwetu mtama

Senior Member
Joined
Feb 5, 2015
Posts
160
Reaction score
25
Jumapili njema wana Jamii Forums.

Mwaka wa sita huu nikiwa hapa jijini Arusha kikazi na nimebahatika kutembea baadhi ya mikoa ila hii ya huku ni maajabu kwangu.

Wasichana wengi wana sura nzuri ila matumbo makubwa ata wale wenye makalio makubwa wanaonekana sio kitu tumbo linapokuwa kubwa.

Kama kuna docta au wakazi wa pande hizi, naomba kujua chanzo cha tatizo ili nini cause wakati wa kungonoka naona kama wanateseka hivi.
 
Wamekwambia au unawasemea? Kama wenyewe hawaoni Tabu na wanao gonoka nao wameridhika wewe huruma ya nini? Raha ya paka kukalia mkia wake.
 
John Ezekiel
usipende kuhukumu wakati hujawah ulza chanzo au kuwap hzo mimba, ungekuwa ww ungjckiaje? Au dada ako anaambiwa hvyo wakat hajawah. Taft sabbu nyingne.
 
Last edited by a moderator:
Inavoelekea we bingwa Wa chabo....umejuaje kama wanapata tabu wakati wa ngono...
 
Huko Arusha chakula mingi. makange yameanzia huko, mtura umeanzia huko halafu baridi huko wanakula sana vyakula vya kuupa mwili nguvu na joto. Halafu wako independent sana kwa hiyo hawanywi bia za mawazo mawazo. Ni kata mti, panda mti kwa hela yao. Vifodi na toyo za kumwaga kwa hiyo hawatembei sana mengine utaongezea.
 
Bujibuji

Hahahaaaaa umesahau na vigimbi vya miguuni km wacheza mpira lol.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu iyo sensa umefanya U. S.A nzima au.....
 
Mhdiwani
Tehe tehe tehe
Sipendi kabisaa matumbo kama mwembe.Halafu utakuta kavaa kivazi kime shindiria tumbooo mpaka hovyo yeye anaona katooka
 
Last edited by a moderator:
John Ezekiel
Ni "a very stupid comment" kama wengine wanavodai, lakn kuna kaukweli kwa asilimia flan! Lakn wote tunaspeculate, majibu sahihi wanayo wenyewe wahusika uwaulize!
 
Last edited by a moderator:
NANDERA
Kwa faida yako wewe na wengine makange alikuwa ni mtu mwenye Bar yake maeneo ya City centre Dar mtaa wa Nkurumah enzi hizo kuna kampuni ya taxi ya serikali.inaitwa co cabs.Huyo mzee makange ndo alie anzisha hayo mapishi ya kuku
wakaitwa makangena bar yake ilikuwa inaitwa kwa makange so makange hayakuanzia Arusha
 
Last edited by a moderator:
NANDERA
Ili tukuamini wewe una umri gani?ulikuepo wakati anaitoa Arusha?Huyo mtu kaanzisha makange enzi za Nyerere now keshakufa
Bar yake ikiwa Dar,hata kama recipe aliitoa kwa mtu Arusha bado Makange yaliaanzia Dar.

cc Nyani Ngabu hebu kuja usaidie hii
 
Last edited by a moderator:
Hata kondoo wa sufi Australia kwenye baridi kali huwa na mafuta mengi zaidi ya Waafrika. Kwa hiyo usihofu ni climate influence tu njoo uoe Dsm kwenye joto huku wembambaaaaa kama tumbo linakatika.
 
Back
Top Bottom