Chenge: Mimi ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa

Chenge: Mimi ni nyoka mwenye makengeza msaka pesa

:A S-confused1::bange::bange::A S-confused1::disapointed::disapointed:
imegundulika kuwa laana hiyo imetembea na damu ya mama yako tangu enzi na enzi! fanya hima isihamie kizazi chako kijacho.
 
Huyu mheshimiwa wako alitaka kushtakiwa huko uingereza serikali ya CCM ikakataa.Kama hujii kitu uliza.Unayemtetea hata kama mzazi wako sifa yake ya kwanza ni Ushirikina huyu alifumaniwa Bunge I akimwaga mmadawa.Sifa ya pili siyo tu mwizi ni Jambazi lililokubuhu.Sifa yake nyingine ni fisadi na muongo.Pole kama ni nduguyo.

Kwa kukuongezea jamaa ni Illuminata mkubwa sana ila wengi wetu hawalifaham hilo
 
imegundulika kuwa laana hiyo imetembea na damu ya mama yako tangu enzi na enzi! fanya hima isihamie kizazi chako kijacho.

Naomba nitukane mimi,mama yangu niachie mwenyewe.Unaonyesha ni kwa kiasi gani huwaheshimu wakubwa zako na hasa Mama yako aliyekuzaa.Pole sana.Lakini muheshimu mama yangu hayupo kwenye hili Jukwaa .:A S embarassed::embarrassed1::bange::A S-confused1:
 
Kwa kukuongezea jamaa ni Illuminata mkubwa sana ila wengi wetu hawalifaham hilo

Usemayoni kweli kwa mila na desturi za Waafrika ni adimu sana kukuta mtu akujisifia yeye ni NYOKA,mara nyingi atajiita Simba nk,lakini si NYOKA maana NYOKA ni kiumbe kilicholaaniwa.Hivyo waweza kumjua mtu kulingana na maongezi yake.
 
Naomba nitukane mimi,mama yangu niachie mwenyewe.Unaonyesha ni kwa kiasi gani huwaheshimu wakubwa zako na hasa Mama yako aliyekuzaa.Pole sana.Lakini muheshimu mama yangu hayupo kwenye hili Jukwaa .:A S embarassed::embarrassed1::bange::A S-confused1:
naam, laana bado inakutafuna!!
 
wasiliana na mamako akwambie alikosea wapi.

Unajitahidi sana kunifanya nikutukane ili nipate BAN basi umenikosa.Nimekwambia kwenye JF mama yangu hayupo so huna haki ya kumtukana.:bange::bange::bange::bange::whistle::whistle::whistle:Naona kwa sasa uko hivi:frusty: POLE
 
yeah, baby!
 
Mtu kusema yeye ni Nyoka mwenye Makengeza - Its a devil connection.
4738062.jpg
 
Karibu tupo Lunch kwa mbali tupo hivi:smile-big::music::clap2::laugh::msela:

laana ni mbaya jamani!!! uwiiiii... inabidi ukafukue makaburi ya walikutangulia!
 
laana ni mbaya jamani!!! uwiiiii... inabidi ukafukue makaburi ya walikutangulia!

😛op2::A S 41::whoo::A S-rap::laugh::laugh::laugh: BRAVOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO:clap2:
 
Kwakweli Huyu Bwana Ni Kipenzi Cha Watanzania! Rada Yumo, Richmond Yumo, Escrow Yumo, Mabillion Ya Uswis Tetes Yumo, Uandishi Wa Katiba Ndio Mwenyewe, Kamati Ya Bajeti Alikua Mwenyekiti Na Mengine Meeengi!! Nadha Asingekua Kipenzi Cha Wa Tanzani Kwa Kashfa Zote Hizi Asingetakiwa Kupewa Nafasi Zote Hizi Muhimu Kwa Taifa Letu. Huyu Jamaa Ni Hatari! Yaani Angekua Nchi Za Wenzetu Hasa Za Magharibi Sheria Inakoheshimika Angemalizia Umri Wake Jela. Ni Kichekesho Mtu Anatuhuma Za Wazi Wazi Anavitunishia Mishuli Vyombo Vya Serikali. Huyu Ndio Andrew Mtemi Chenge Bwana.
 
Hivi akiwa Rais, anaweza kuacha kuiba au ndio ataiiba nchi nzima wakiwemo na raia wote?!!
 
Back
Top Bottom