Recent content by KimChi

  1. KimChi

    Car4Sale Toyota Carina TI

    Gari iko vizuri haina tatizo lolote kubwa, Engine haijaguswa. Bei ni Yah. Milioni 4. Mnunuzi serious nicheki kwa 0758515303 au 0653 626295. Niko Mwanza
  2. KimChi

    USHUHUDA WANGU: Nilivyotembea na wake za watu vol 1

    Nasi tumeuona uzinzi wako mkuu😒
  3. KimChi

    Nitamjuaje mwanaume aliyenipakia mkongo?

    Ulianza vizur uliposema 80% mbele ukaharibu japo kweli waongo wapo, Binafsi nachokaga miguu sababu ya kubadili mikao ila dushe linakuwa fiti kupitiliza, nikiwa sijachoka sometymz huwa naahirisha game bila kumwaga maana huona napoteza muda sana(huwa nahisi ni tatizo na sio sifa). Mfano kuna Dem...
  4. KimChi

    Christmas Uchagani: Wachaga wako overrated!

    kwa hiyo pic ya kwanza naomba kuoa uchagani....mchaga kweli huyo!?
  5. KimChi

    Nani/ wapi wanahitaji kibarua/ mfanyakazi jijini Mwanza?

    Ni PM ndugu, naona si vyema kwa yeyote kutoa personal contacts hadharani mapema. Tutumie JF/PM kwanza mpaka hapo ulazima wa kupeana contacts utakapofika
  6. KimChi

    Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA

    Kukutoa uanachama wa CPA kuna hasara gani?! endapo umefanya mitihani yote na waeshakupa Certificates. kwani si itaendelea kujulikana kazini na mahali pengine kuwa una CPA tayari?, Je utakosa fursa za kihasibu katika kampuni binafsi na serikali sababu tu haulipii membership fee ya NBAA...
  7. KimChi

    Tusilazimishe ajira kwa kuwakosesha watu ajira

    Umeongea yote ya akilini mwangu, japo nashangaa wana JF hawajatoa mchango wowote sijui Labda sie tuko nchi ya peke yetu hadi kuliona hili!!🙄
  8. KimChi

    Ufugaii Nguruwe vs ufugaji Kuku

    Me nionavyo mtaani wauza vitimoto wanaangalia tu bei ya soko kwa kilo na hata walaji pia, mara nyingi wateja wake huwa hawachagui aina(kienyeji au pure) wao ni mradi kitimoto. Sasa humu naona watu wanakatishana tamaa kwa kuleta majibu ya kiprofessional zaidi wakati wajasiriamali wengi humu ndo...
  9. KimChi

    Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

    Kumbe zile gym zoote ni kutafuta stamina za kusimamia ukucha😂 Kutekwa kule usikute sababu alikula biriani la mafia akaleta ubahili.😢
  10. KimChi

    Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

    🙌 wbongo nimewanyooshea mikono🙌
  11. KimChi

    Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

    Duh JF members wanatoa mapovu hadi unaweza kudhani Inner Circle yako wote masnitch🤔
  12. KimChi

    Una mtaji ila hauna pesa ya kodi ya fremu? Zijue biashara zisizohitaji fremu

    Story yako inanikumbusha miaka ya Chuo; Ndani ya paper ya accounting jamaa kajiandaa kwa kukaa nyuma ya mtaalam wa kufunga makabati chap, 1 hr mdada kamaliza then jamaa akaanza kumuomba booklet acopy. Msimamiz anapitapita huku na kule Manzi: "Naogopaa nitakamatwa ntadisco"😧 Jamaa: "Aaarghaaah...
  13. KimChi

    Bernard Membe, aliyekuwa mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo kwenye Uchaguzi 2020, ajiondoa kwenye chama hicho

    Aliyoyafanya uchaguzi 2020 yalinigopesha sana; Nikawaza hivi inawezekanaje aliyekuwa Top Gov Official kwa kipindi kireefu akawa kiuhalisia ni Professional Clown🤡 kiasi hiki🙄
Back
Top Bottom