Nina bachelor ya Mining Engineering nataka kujiunga na masomo ya CPA

Kukutoa uanachama wa CPA kuna hasara gani?! endapo umefanya mitihani yote na waeshakupa Certificates. kwani si itaendelea kujulikana kazini na mahali pengine kuwa una CPA tayari?, Je utakosa fursa za kihasibu katika kampuni binafsi na serikali sababu tu haulipii membership fee ya NBAA? nikimaanisha(kutokulipa hiyo fee kunatafsiriwa na waajiri kama kukoma kwa CPA yako?)
Machozi ya Simba
 
Kutolipa subscription fee kuna consequences 2 tu
1.utakapokuja kulipa utalipa na interest
2.unakuwa dormant member, kwa maana huwezi kuruhusiwa ku-sign FS au Auditor report, pamoja na ukweli kwamba ni maandishi tu ila in practice watu wanaendelea kama kawaida.
 
Yote hayo nayaelewa, mkuu, nimesomaga olevel kuanzia form one mpaka three
Naanza kuwa na mashaka na wewe, kwa mfumo wa elimu ya upili (sekondari) ya Tanzania hauwezi soma Commerce na Book keeping kuanzia form one to form three na kisha ukaiishia kuwa na shahada ya kwanza ya mhandishi wa uchimbaji madini (ambayo kimsingi ni sayansi), masomo ya jumla huishia kidato cha pili (form two), kuanzia form three ni masomo ya mchepuo....sasa sio kweli kuwa ulikuwa mchepuo wa sayansi na bado ukasoma Book Keeping form three!
 
Na nikisha f

Oooooh, okay, nmekupata ila hilo halina tatizo kwangu, maana sihitaji kuajiliwa najiajili mwenyewe, lkn naihitaji sana sana elimu ya uhasibu, nahitaji kujua sheria za biashara, nahitaji kujua financial management, nahitaji kujua kuandaa financial statements, ndio haya nayo yahitaji.
Kama hutaki ajira kwann usisome MBA uspesholaize kwenye accountancy?
 
Kutolipa subscription fee kuna consequences 2 tu
1.utakapokuja kulipa utalipa na interest
2.unakuwa dormant member, kwa maana huwezi kuruhusiwa ku-sign FS au Auditor report, pamoja na ukweli kwamba ni maandishi tu ila in practice watu wanaendelea kama kawaida.
Shukran mdau, nimekupata vyema🙏
 
Back
Top Bottom