Thank you Pep hivi zile dawa za PEP ndiye wewe?[emoji12]
FS una utani wa makofi (sio kama makofi aliyopigwa mwenye uzi kwenye thread yake ya nyuma [emoji6])
Wanajamvi waliamua zile dawa zisiitwe tena PEP....siku hizi wanaziita mbaazi, instead!
Kuhusu jina langu sasa...
Pep ni jina lililokua derived kutoka Joseph, Josep, Yosef, Yasaph, Yehoseph, Yusuf
Linatumika zaidi na wakaazi wa pale Catalonia/Katalunya nchini Spain
Kwanini nalitumia?
Moja ni kwasababu jina langu linatokea kwenye hiyo list hapo juu
Lakini pia, Josep Guardiola (arguably the most decorated football coach of all time) maarufu kama Pep ni role model wangu kwenye ualimu wa mpira
Yeye ndo amenivutia kufanya badges za football management & coaching
Nje ya kazi yangu ya kawaida, nafundisha team fulani (jina kapuni) kama passion.
Okay, FS?
Sasa embu nifahamishe reason behind Financial Services....wewe ndo mkombozi bank? [emoji38]