Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Moo Dewji tajiri wa mapicha picha hawezi kumuonga hata million tano , Ana hela za kawaida na ni mbahili kufulu ya Mungu

alimkula rafiki yangu akampa laki moja tu 😂😂 rafiki alijua kapata bonge la boyfriend na Moo anapenda sana nyuma, muulizeni mobeto sasa kylin nyuma flat
🙌 wbongo nimewanyooshea mikono🙌
 
Ulivyo andika ni as if Jacky hana haki yoyote na anapaswa kuwanyenyekea wakina Regina ili aweze kupata haki zake

Kwa vyovyote vile Jacky ni mke halali wa marehemu anastahiki zote na mali za marehemu hadi pale mahakama itakapo fanya mgao kila mtu aendelee na maisha yake

Wanachofanya watoto wa marehemu ni ubabe dhidi ya mjane wa marehemu

Wangekaa naye tu chini wakayajenga akapewa kitengo ipp media maisha yangekuwa mepesi tu
Sema sasa watoto hawamkubali mama yao toka baba akiea hai
Amekufa imekua balaa
Mahakama imewapa kihalali mali watoto husika wa mengi na wale wadogo wanalindiwa mali na watoto wakubwa wa mengi jackline ni kahaba huria haaminiki alichofanya kimeenda komboo usihangaikie mali za familia zawatu katafute zako from the start my dear walizaliwa 2 children na wazazi wao walifight so tafuteni maisha .
 
Hivi alishawai kuona kaburi?
 
Hii ni kwa mujibu wa maoni yako
Lakini sio kisheria
Najua kama jack ni gold digger lakini ndio mjane wa marehemu kisheria ana haki zake kama mjane
 
Sasa hajapewa ndio ukweli wenyewe hata sheria yenyewe imenyima haki
 
Back
Top Bottom