Recent content by kimbuzi

  1. kimbuzi

    Nehemiah Mchechu Mkurugenzi wa NHC asimamishwa kazi kupisha uchunguzi!

    Anaitwa Nehemiah Mchechu Na Sio " Nehemiah Msechu"
  2. kimbuzi

    Kufanya mapenzi ni kitu cha muhimu kwa ajili ya kupata mtoto tu na si vinginevyo

    Mkuu hata Mimi Lazima nisex atleast once per week, otherwise akili haikai Sawa
  3. kimbuzi

    Kauli za kebehi kwa Lowassa alipoahidi kumtoa babu Seya na mwanae

    Yaan Leo dar nzima Ni babu seya... Hii Inaashiria Lowasa Ni chaguo la MUNGU.
  4. kimbuzi

    Fanya mambo kama mwanaume ili uwe mume

    Mkuu Una akili Sana!
  5. kimbuzi

    Ni lazima vijana wakimbilie kuajiriwa

    Nakubaliana Na mtoa mada Kwa asilimia kubwa kabsa, vijana wengi tuna shauku ya kujiajiri Ila tatizo linakua mitaji, masoko n.k., Na usipokuwa makini hata wazo lako unaweza kuibiwa Na Watu wenye mitaji.
  6. kimbuzi

    Captain Jack Sparrow

    Mkuu nimecheka hapa hadi watu wananishangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. kimbuzi

    Hatimaye nimekamilisha vigezo vya kuoa!

    For me, this is the best comment in this thread! Utakua unajielewa sana... Hongera
  8. kimbuzi

    Nina 1.5m, je naweza pata Samsung Galaxy s8 edge plus?

    Nauza iPhone 6 Plus Bado mpya Bei 1m Kama uko fresh nicheki pm mkuu
  9. kimbuzi

    Its good sometimes Kupitia Nyakati Ngumu

    Nimefarijika Na maneno yako mkuu, ubarikiwe huko ulipo
  10. kimbuzi

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Punyeto ina madhara sana mkuu, Sema watu wanachukulia poa!
  11. kimbuzi

    Natafuta partner(mbia) wa Civil proffesion tech au eng

    Nimeoteshwa kuna utapeli Unataka kufanyika hapa
  12. kimbuzi

    TID amerudia tena kutumia madawa? Ameonyesha dalili za uteja!

    Kuacha beer yenyewe ni kazi!! Ndo itakua ngada [emoji1][emoji1]
  13. kimbuzi

    Tujuzane zaidi kuhusu nchi ya Ethiopia

    Ethiopia ni moja kati ya nchi zenyewe wanawake warembo sana! Niliwahi kupita Addis Na Ndege ya shirika Lao Ethiopian airline Aisee hao wahudumu wao Ni balaa, jamaa wamejitangaza sana Kwa kupitia shirika Lao la ndege.
  14. kimbuzi

    RC anapokwepa Agenda ya vyeti kupitia mgongo wa madawa ya kulevya....

    Kazi ipi mkuu?? Kutaja majina bila kuwa Na ushahidi? Iv kati ya wote waliotajwa Nani amethibitishwa pasipo Shaka anahusika Kwa namna moja Au nyingine? Na je yupi Ambae Bado yuko ndani Kwa Hilo sakata? Shame on you!!
Back
Top Bottom