Hatimaye nimekamilisha vigezo vya kuoa!

Hatimaye nimekamilisha vigezo vya kuoa!

Umeeleza sifa zako nyingi lakini umeshindwa kusema kama cheti unachotumia ni chako au ume-download? Vipi umehakikiwa na NECTA? Kila la kheri
 
Unaweza ukawa na vyote kumbe unaboa.Au unapenda kujiongelea Sana.Hata Kama Una kilakitu utabaki unajiuliza kwa nini wanawake hawakutaki.Haujaandika characters ambazo mwanamke Anataka kuona kwa mwanaume atakayemchukulia Kama mume.
We huoni wanawake wengine bado wanamudu kukaa na wanaume walevi? Au ambao hawaendi kanisani?

Mali inaweza ikawa factor ila how you make a woman feel is the major factor.I think kuandika nini utamfanyia huyo mwanamke na sio nini unacho.Ulichoandika ni muhimu ila sio kila kitu.

Mimi Kama mwanamke huwa siwazi eti kwasababu ya weupe au weusi au umbo au elimu ndio ntakuja kumfurahisha mwanaume.Mwanaume anaona akitafuta hela zaidi ndo mwanamke atampenda zaidi.kwamba mali=Mwanamke.Maybe.Ila Anyway,
minaona ungeandika vitu Kama,
Kuwa mume anayejali.Mume atakayeona umuhimu wa kulea watoto pamoja sio kulipa tu Ada Maana kutokana na qualities ulizotoa hiyo ndo Maana yake.
Utamheshimu mke wako sio kumpotezea au kumdharau.
Hutampiga mke wako.
Nk.

Mfano labda ukapata ajali au ugonjwa wowote terminal ukashindwa kufanya kazi,degree yako ikashindwa kukusaidia tena?
Au ikakubidi uuze hata hivyo viwanja viwili ili umudu matibabu?
Bado atakuwa at your side???

Anything can happen to anyone.
Kwa hiyo jua hizo qualities zako ulizoandika sjui handsome,unaenda kanisani na utanunua gari,nivitu ambavyo vinaweza vikakupa mwanamke wa kumweka ndani ila havi guarantee kuwa atakaa nawewe mambo yasipoenda vizuri.

Ndo ivyo mkuu,wanawake Ni viumbe complicated,we utaona ukipofika Ni perfection kabisa na mwanamke Lazima akukubali.Yani ulipoandika ulijua yani yes,this is it.
Kuoa utaoa.Ila unaweza pia ukabaki shocked na kujiuliza wanawake wanataka nini?[emoji16]

I'm just thinking out loud.
All the best in your quest[emoji4]

NB .Af baadhi ya wanaume sanasana mlioko at your twenties mnakuwa makauzu
Huku chuo eti mnatafuta degree ili mpate hela ndo muanze kuenjoy.Mnatiaga huruma,tafuta girlfriend saivi lasivyo utaishia kusaka Sana mke.watakaokuja Ni wale watakaoona Pesa zako.wengi wenu ndo mnakuja kuwa wachepukaji wazuri.Mnaishi maisha ya kuhonga honga Maana mlishajiwekea mentality ya Pesa kwanza.Kwahiyo unaona kuwa kilakitu kinanunulika.I'm soree.
Yani hawa wanaume hata kwenye kutongoza anakutajia elimu yake mali zake[emoji15]???Inasikitisha kwakweli.
### Maisha hayana formula.
Aiseeh! We we dada umejawa busara na maarifa! Unaonekana upo makini sana na busara juu, nikipata mwanamke mwenye busara hiv na vile vigezo vingine akawanavyo hata kama sio vyote anaweza hata kuadjust vigezo ilimradi niwe nae mbona nitajiita ee mwenye bahati na furaha tele maishani!
Kigezo cha pesa kwa ss wanaume tulio anzia zero income lazima tuliweke kipaumbele kutokana na dharau tulizokutana nazo kutoka wanaweka tuliowapenda toka mashulen na hata baada ya ku graduate!
Wakat upo jobless, mwanamke yule unayemhtaj unaambulia patupu sababu huna pesa!
Tuliokutwa na mkasa huu kukaona suluhu ni pesa,
Ndo maana hata mm nilikuwa buz zaidi kusaka pesa kuliko hata mungu, na hata pesa nilizopata nilitumia rafu zaid ya 70% kwenye starehe nilizokuwa nazitaman kipindi jobless ila sizipati, mchumba au permanent girlfriend nilikuwa sitaki hata kusikia , sababu ya kupenda pesa zaidi na starehe!
Nisinge angukia mikono ya starehe, by this time ningekuwa naorodhesha building sio viwanja, that's why nimeamua kumtafuta mungu kwa mafanikio zaidi!
Anyway naamini kilajambo na wakat wake!
By this time I need wife to be serious!
Ushauri wako mzur sana, thanx a lot!
 
Umeeleza sifa zako nyingi lakini umeshindwa kusema kama cheti unachotumia ni chako au ume-download? Vipi umehakikiwa na NECTA? Kila la kheri
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mm nilikuwa wale wanaitwa msongo, wakukomaa na kitabu, sio mjanjamjanja Wa mjini! Ninavyo original mkuu, nimecheka mpaka bac![emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
JF raha sana. Mungu akusimamie ufanikiwe ila Chonde chonde usirudie yote uliyoyaacha.
 
Hongera sana

-Ila katika hivyo vigezo, namba 4 utajuaje kama hajawahi kuzaa na kutoa mimba?

-Namba 3, umesema awe Mkristo ila sio Mlokole. Kwanini?
Ukweli huwa haujifichi, ukweli hufichuo uongo, kama anamtoto au katoa mimba ukweli utamfichua tu!
Naaam ningependa mchumba awe muumini Wa wastani, mwenye hofu ya mungu, anayempenda yesu krsto,
Ila sio mulokole Wa kulialia na kunena kwa lunga, mm nisikia mtu analia huku ananena kwa lugha, huwa nakosa amani kabsa!
Hongera sana

-Ila katika hivyo vigezo, namba 4 utajuaje kama hajawahi kuzaa na kutoa mimba?

-Namba 3, umesema awe Mkristo ila sio Mlokole. Kwanini?
 
Unaweza ukawa na vyote kumbe unaboa.Au unapenda kujiongelea Sana.Hata Kama Una kilakitu utabaki unajiuliza kwa nini wanawake hawakutaki.Haujaandika characters ambazo mwanamke Anataka kuona kwa mwanaume atakayemchukulia Kama mume.
We huoni wanawake wengine bado wanamudu kukaa na wanaume walevi? Au ambao hawaendi kanisani?

Mali inaweza ikawa factor ila how you make a woman feel is the major factor.I think kuandika nini utamfanyia huyo mwanamke na sio nini unacho.Ulichoandika ni muhimu ila sio kila kitu.

Mimi Kama mwanamke huwa siwazi eti kwasababu ya weupe au weusi au umbo au elimu ndio ntakuja kumfurahisha mwanaume.Mwanaume anaona akitafuta hela zaidi ndo mwanamke atampenda zaidi.kwamba mali=Mwanamke.Maybe.Ila Anyway,
minaona ungeandika vitu Kama,
Kuwa mume anayejali.Mume atakayeona umuhimu wa kulea watoto pamoja sio kulipa tu Ada Maana kutokana na qualities ulizotoa hiyo ndo Maana yake.
Utamheshimu mke wako sio kumpotezea au kumdharau.
Hutampiga mke wako.
Nk.

Mfano labda ukapata ajali au ugonjwa wowote terminal ukashindwa kufanya kazi,degree yako ikashindwa kukusaidia tena?
Au ikakubidi uuze hata hivyo viwanja viwili ili umudu matibabu?
Bado atakuwa at your side???

Anything can happen to anyone.
Kwa hiyo jua hizo qualities zako ulizoandika sjui handsome,unaenda kanisani na utanunua gari,nivitu ambavyo vinaweza vikakupa mwanamke wa kumweka ndani ila havi guarantee kuwa atakaa nawewe mambo yasipoenda vizuri.

Ndo ivyo mkuu,wanawake Ni viumbe complicated,we utaona ukipofika Ni perfection kabisa na mwanamke Lazima akukubali.Yani ulipoandika ulijua yani yes,this is it.
Kuoa utaoa.Ila unaweza pia ukabaki shocked na kujiuliza wanawake wanataka nini?[emoji16]

I'm just thinking out loud.
All the best in your quest[emoji4]

NB .Af baadhi ya wanaume sanasana mlioko at your twenties mnakuwa makauzu
Huku chuo eti mnatafuta degree ili mpate hela ndo muanze kuenjoy.Mnatiaga huruma,tafuta girlfriend saivi lasivyo utaishia kusaka Sana mke.watakaokuja Ni wale watakaoona Pesa zako.wengi wenu ndo mnakuja kuwa wachepukaji wazuri.Mnaishi maisha ya kuhonga honga Maana mlishajiwekea mentality ya Pesa kwanza.Kwahiyo unaona kuwa kilakitu kinanunulika.I'm soree.
Yani hawa wanaume hata kwenye kutongoza anakutajia elimu yake mali zake[emoji15]???Inasikitisha kwakweli.
### Maisha hayana formula.
Ww ni mke ww
 
For me, this is the best comment in this thread! Utakua unajielewa sana...
Hongera
 
I wish ungekuwa serious but seems to me you are not...
Am serious my dear!
Handsome just neno tu, sababu kila binadamu anajikubali wenyewe jins alivyoubwa na mungu!
Maneno like beautiful, handsome ni maneno tu yakumpaka mafuta binadamu!
 
Vigezo vyote ulivyotaja nimevi meet nnavyo, except kigezo kimoja tu sina...mwaka jana january nilipataga ajali ya gari nna Kovu hivi mkononi na sehemu zingine ambazo hazionekani, pia my bad nna mchumba tayari.
I wish you Lucky
NB: Kwa vigezo hivyo nakushauri tembelea makanisa ya wasabato wadada wa namna hiyo wako wengi mno.
 
espy Nalendwa makovu yamenikosesha mume daah
Very Sorry!
Ila usijali utapata wengine wanaume tupo tofauti sana
Mfano mm ukiacha makovu na ngeu ambayo yaweza, kuwa hakupenda yeye labda ajali, majanga kama moto au ukatili Wa wabinadamu nk
Ila Sipendi mwanamke aliye jichora tatoo! Ya kuchoma au kupaka sijui star au madudu gani
aliyetoboa pua, toboa kitovu, au kuvaa mabangili mengi mkononi na miguuni,
Au mwanamke anakuwa na kilema sababshwa na tabia mfano kutembea amejbinua makalio, wakati angetembea kawaida tu! Nk
 
Back
Top Bottom