Recent content by kimavi10

  1. K

    Shoga anataka kuniharibia ndoa msaada wenu jamani

    twanga kinu hicho kijana acha kupoteza fursa
  2. K

    Efd mwanza mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya pili:-

    kweli kaka yani inauma walalahoi tunalipa kodi wabunge mishahara juu.. Alafu wananchi badala ya kuunga mkono mgomo wao wanaupinga wakati wao ndio walaji wa mwisho... Tuungane kwa pamoja kupinga utapeli huu wa serikali dhidi ya raia wake...
  3. K

    ITV na ZITTO KABWE kuna nini?

    muendelezo wa chagga sacos kubebana c unajua zito ni muha..? Lakn kwa kufanya haya wanawafumbua watu macho na kuleta udadisi... Sasa kwa wale wenzangu na mimi ambao sio wachaga akili kumkichwa kama mtaziba maskio na kufumba macho pia sawa...
  4. K

    Watanzania mnaokwenda kwa jirani na mavazi yanayo chochea ngono, hili linawahusu...!

    Ni sahihi min-skirts, tops,tight wears... But vitu hivi tayari uislam ulishaeleza mapema sana lakn wakubwa wakaweka pamba maskioni na kufuata utaratibu wa magharibi ambao ni wakishenzi na usio na stara hata kidogo... Taratibu mtaukubali uislam kwa tabia & maadili yake...
  5. K

    Mimi Mchawi & Ndiye Niliyezamisha Meli Ya Mv Spice Islander-Bint

    Duuh...! hii mineno c ndogo kihivyo ni big ishu..! lakn tatizo ni dini ya huu upande iko simple kwa kupigia dili town...! yani waumini wa dini hii cjui wanatumia ndumku kufikiri maana SOUND za kitoto kama hz haihitaji uwe na hata certificate kugundua ni changa la macho.. halafu unakuta watu...
  6. K

    Kikwete akataa tena IGP Mwema,Jack Zoka & wenzao kustaafu

    kwani mleta mada anataka madaraka au ameonesha hali halisi kwa bosi kubwa kukumbatia watu wale wale ingawa serikali imewasomesha Na Watu Wengne waje kuitumikia nchi lakini wanabaniwa..
  7. K

    Kikwete akataa tena IGP Mwema,Jack Zoka & wenzao kustaafu

    alaa kumbe...! Hapo nimeanza kuelewa elewa.. Ndo maana haangalii hata ukikongwe wao...??
  8. K

    Utamu wa Mke wa Mtu ni balaa

    Mke Wa Mtu Ni Sumu Lakn Mume Wa Mtu Ni Maziwa..! So Ngoma Droo..!
  9. K

    CHADEMA: Anguko kanda ya ziwa mashariki

    kanda ya ziwa mashariki au tanzania nzima hawa cdm hawana chao baada ya watu kuwashtukia labda kwa asiyw wajua ndio atawafuata lakini kiuhalisia jamaa ni magaidi,wezi wabinafsi na zaidi ni wadini wa kupindkia... Hawafai kupewa nchi hata nusu dakika....
  10. K

    Mkapa: Wapinzani bado ni wachanga kuwapa Ikulu!

    tehe tehe tehe umesema kweli che-nkapa na ndio maana nakufagilia sana njomba big up kwa kusema ukweli...........
  11. K

    Sababu ya Hasira za KAGAME kwa KIKWETE

    kwanini kwenye ukweli tusiseme ukweli???????????
  12. K

    Chanzo cha kufifia kwa chama cha CUF katika ramani ya siasa Tanzania

    kwani katika cdm kuna waislamu babu????????????????????????? Mpaka mtatiro afiche kitu alichonacho??? Ingawa kwa 100% hana acha udini ---- wewe::
  13. K

    Mtikila: Kagame amepenyeza Wanyarwanda 35,000 Tanzania, Burigi, katika Wilaya ya Muleba

    aisee hii ni hatari inabidi gvt ichukue hatua tena za makusudi kabisa vinginevyo......
  14. K

    Mshahara wa mwezi Juni kuchelewa

    chanzo cha habari yako ya kuzusha ni nkipi???????????????
  15. K

    Mkutano wa nchi za Kiislamu (OIC) kufanyika nchini Tanzania Septemba 02 mwaka huu

    saaafi sana kaka!!!!!!!!!!!!! Mimi sioni sasababu ya wengine kuhoji au kuwa na shaka, kwani kulifanyika mkutano wa mashoga hapa bongo sikusika watu wanaongea...........
Back
Top Bottom