ITV na ZITTO KABWE kuna nini?

ITV na ZITTO KABWE kuna nini?

Status
Not open for further replies.
naamini wapo waliotazama habari leo itv.

Nimeshangaa habari ya zitto kufanya mkutano mkubwa kigoma haikutangazwa. Badala yake ni dr. Slaa akiwa nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.

muendelezo wa chagga sacos kubebana c unajua zito ni muha..? Lakn kwa kufanya haya wanawafumbua watu macho na kuleta udadisi... Sasa kwa wale wenzangu na mimi ambao sio wachaga akili kumkichwa kama mtaziba maskio na kufumba macho pia sawa...
 
We kilaza unamwambia kila mtu hajakuelewa. Hivi hapo umeandika Schrodinger equation hadi watu wote wasikuelewe? Kilaza kweli wewe. Unashupaa mishipa ya shingo kwa tv ya Mengi? mwambie mama yako akazae na mengi halafu uwe unainfluence habari za kutokea itv. pumbafu

Mods knows their job upon this sort oe reaction..

However, hata wewe hujanielewa.. Soma thread vizuri....

Umepanic braza!!!
 
1. ITV mali ya R. Mengi
2.Reporter: Devota Minja
3.Cdm mmiliki E.Mtei
4.M/kiti Freeman Mbowe.
Unategemea watangaze habari za,
zitto zuberi kabwe,muha wa kigoma kweli!

chadema jipimeni jamani ukanda mpaka lini ?
 
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.

Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.

Dr.Slaa anamlipa huyo reporter wa ITV. Kamtoa Dar anazunguka nae kwa ruzuku ya chama. Ndo maana huwezi ona anareport habari kinyume na zinazomfurahisha Dr.

ITV walihusika pia kuchakachua habari za operation tokomeza majangiri kwa kupewa ela na kureport uongo.

Unapoona habari kwenye TV jiulize mara 2 kabla ya kuiamini 100%
 
Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.

Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.

Vipi mbona unaweweseka,umeshangaa wewe kama nani?kama unaona kuna sheria yoyote imevunjwa nenda karipoti Tume ya Mawasiliano pamoja na Wizara ya Habari kuwa ITV hawajarusha Habari ya Nyepesi ili wachukuliwe hatua. Kwanza nakushangaa sana wewe Gamba kuangalia I.T.V wakati mna T.V yenu TBCCM,halafu yule Msaliti mwenzake Kafulila hapo juzi kati si alifungua kituo chake cha Habari huko Kigoma kwani hawakurusha hiyo habari?
 
1. ITV mali ya R. Mengi
2.Reporter: Devota Minja
3.Cdm mmiliki E.Mtei
4.M/kiti Freeman Mbowe.
Unategemea watangaze habari za,
zitto zuberi kabwe,muha wa kigoma kweli!

Acha ukabila mngese wewe,kwa hiyo Mengi kuwa Mchagga au kutoka Mkoa mmoja na Mbowe ndio tatizo?hivi unajua utaratibu wa waandishi wa Habari kwenda kuripoti kwenye mikutano ya Kisiasa?kwani huyo Zitto wako ni kiongozi wa Kitaifa wa Chadema? Hivi Mkurugenzi au Bosi wa TBCCM ni nani na ametoka Mkoa gani,mbona atangazi Habari zinazohusu Chadema?
 
wewe sawa na nguruwe uwezo wako wa kuwaza mdogo sana.kafungue TV yako halafu uwe unamtangaza tu zito january hadi desemba.Kwani zito ni nani hapa TZ?kama unafikiri ni mtu wa maana muombe aje atembee na wewe au mkeo/mumeo halafu utangaze kuwa zito katembea na wewe au mkeo/mumeo
 
Umejibu vizuri..
yaah. mi natoa ufahamu juu ya suala la kila chombo cha habari kuwa na ajenda yake na wakati mwingine itatoa taarifa ambazo ama zitawachukiza kundi fulani na kufurahisha kundi jingine. The ListenerEx Detective
 
Si na yie tumeie TBC-CCM

Naamini wapo waliotazama habari leo ITV.

Nimeshangaa habari ya Zitto kufanya mkutano mkubwa Kigoma haikutangazwa. Badala yake ni Dr. Slaa akiwa Nzega. Ambapo alitumia nafasi hiyo kusema Zitto anaweza kuvuliwa uanachama iwapo mashabiki wake wataendeleza propaganda chafu.
 
Kwani nyinyi wa kusini, mashariki,magharibi mliweka wapi akili zenu wakati hawa wakaskazini wakianzisha hy itv? Tofauti kati ya mtu aliyetoka kigoma na kaskazini ni kuwa yule wa kigoma ametoka kwenye njaa na ukame kwa akija mji yeye lake moja tuu kula na tamaa ili amfikie wa kaskazini ila wa kaskazini anatoka sehemu ya shibe hakuna ukame akifika mjini atazungumzia maslahi ya watu wa chini

Unasema kigoma kuna njaa hv unawaza kwa kutumia kunakotoka njaa kubwa au Dogo,
Kiashilia kikubwa cha njaa ni wizi hv kabila gani tz linasifika kwa wizi
Kasikazini akienda makini anaongelea watu!hata huyo mwenye ITV mwizi sana na kazi mulugo kamuumbua
 
nilifanya kazi na mmoja, mbishi huyo, anabishana mpaka na redio.

We ni kabila tukufaham maana una ganzi LA ujinga hv tz ya sasa unahusisha ukabila
Hakika CD kuna mizigo ambayo yahitaji darasa kufudisha
Hv unadhani wote waha wanawaza sawa au nyie kabila lenu mnafanana tabia
Tuambie kabila lako tukujulishe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom