Kikwete akataa tena IGP Mwema,Jack Zoka & wenzao kustaafu

B

bluecolour

Senior Member
Joined
May 20, 2013
Messages
199
Likes
77
Points
45
Age
24
B

bluecolour

Senior Member
Joined May 20, 2013
199 77 45
Kwa Mujibu Wa Habari Za Uhakika Zilizoripotiwa Kutoka Magogoni (state House) 'Big Boss' Kwa Mara Nyingine Amekataa Katakata Team Yake Ya Ulinzi Na Usalama Isi-staafu Na Ameagiza Wapewe Mikata Mipya Walau Hadi 2015 Baada Ya Uchaguzi Mkuu.. Wote Tunakumbu Igp Mwema, Kova, Mangu, Kanyala Ilikuwa Wastaafu June Mwaka Huu Lakn Kwa Sababu Zisizofahamika Walipewa Mikataba Ya Miezi Sita Hadi Dec 31 Mwaka Huu... Ajabu Watu Wakiwa Bado Wanaulizia Mikataba Hiyo Sasa Wameongezwa Mikataba Mipya Tena Mirefu Ya Hadi 2015..! Katika Kundi Hili Wako Akina Mwema, Zoka, Kova, Kanyala, Mangu Na Wengne Wengi... My Take Hivi 'Big Boss' Katika Idara Hizi Kawaona Hao Tuu...? Mbona Kuna Watumishi Wengi Wanaoweza Kuchukua Nafasi Zao Kuna Nini Mpaka Awang'ang'anie Hawa Watu....???
 
kilambalambila

kilambalambila

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
8,039
Likes
4,384
Points
280
kilambalambila

kilambalambila

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
8,039 4,384 280
waache wafu wazike wafu wao
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,665
Likes
5,564
Points
280
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,665 5,564 280
Rais amebakiza miaka miwili kama sio mmoja na ushee kustaafu...binafsi naona ni busara kubaki na safu yake till amalize muda wake ili kukwepa gharama mara mbili kwa maana say anamstaafisha IGP,atalazimika kumteua mwingine whom baada ya miaka miwili atabadilishwa tena ikiingia safu mpya ya uongozi!...
 
Lastname

Lastname

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
923
Likes
5
Points
35
Age
47
Lastname

Lastname

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
923 5 35
Anaogopa . . . . underperformer ndo walivyo. Si unakumbuka Mwinyi kipindi kile John Malecela alipomwambia anataka kujiuzuru akasema kama unajiuzuru na mimi najiuzuru. Lack of self confidence . . .
 
Lastname

Lastname

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
923
Likes
5
Points
35
Age
47
Lastname

Lastname

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
923 5 35
Rais amebakiza miaka miwili kama sio mmoja na ushee kustaafu...binafsi naona ni kubasa kubaki na safu yake till amalize muda wake ili kukwepa gharama mara mbili kwa maana say anamstaafisha IGP,atalazimika kumteua mwingine whom baada ya miaka miwili atabadilishwa tena ikiingia safu mpya ya uongozi!...
Huwa tunakwepa gharama ambazo hazitatokea tena, hapo ni kuwa anaahirisha hizo gharama na ndio tatizo lenu CCM
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,665
Likes
5,564
Points
280
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,665 5,564 280
Huwa tunakwepa gharama ambazo hazitatokea tena, hapo ni kuwa anaahirisha hizo gharama na ndio tatizo lenu CCM
Lastname uwe na utamaduni wa kutafakari kabla hujahitimisha tafakuri zako...sio kila mwenye mawazo usiyokuwa nayo wewe ni mwanachama ama shabiki wa chama cha siasa usichokishabikia!
 
M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Messages
4,999
Likes
3,218
Points
280
Age
43
M

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2013
4,999 3,218 280
Tusimlaumu kwani kwa mujibu wa katiba mpya hao watu ni lazima waombe nafasi hizo na wathibitishwe na bunge so, hawatakuwa wateule wa rais tena. Nampongeza kwa busara hii but wasiendelee kuharibu zaidi ili tusishindwe kuwasamehee!
 
D

demulikuy

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Messages
881
Likes
589
Points
180
D

demulikuy

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2011
881 589 180
Kwa Mujibu Wa Habari Za Uhakika Zilizoripotiwa Kutoka Magogoni (state House) 'Big Boss' Kwa Mara Nyingine Amekataa Katakata Team Yake Ya Ulinzi Na Usalama Isi-staafu Na Ameagiza Wapewe Mikata Mipya Walau Hadi 2015 Baada Ya Uchaguzi Mkuu.. Wote Tunakumbu Igp Mwema, Kova, Mangu, Kanyala Ilikuwa Wastaafu June Mwaka Huu Lakn Kwa Sababu Zisizofahamika Walipewa Mikataba Ya Miezi Sita Hadi Dec 31 Mwaka Huu... Ajabu Watu Wakiwa Bado Wanaulizia Mikataba Hiyo Sasa Wameongezwa Mikataba Mipya Tena Mirefu Ya Hadi 2015..! Katika Kundi Hili Wako Akina Mwema, Zoka, Kova, Kanyala, Mangu Na Wengne Wengi... My Take Hivi 'Big Boss' Katika Idara Hizi Kawaona Hao Tuu...? Mbona Kuna Watumishi Wengi Wanaoweza Kuchukua Nafasi Zao Kuna Nini Mpaka Awang'ang'anie Hawa Watu....???
Anachofanya Rais ni sahihi kabisa. Ni combination ya busara na good practice. Kwa kila Rais Ni kazi nzito sana kuassemble Security and Defense Team na hata ukiangalia nchi nyingi duniani viongozi wa aina hii huanza na Rais na kumaliza kipindi ambacho Mheshimiwa anamaliza.
 
T

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Messages
401
Likes
44
Points
0
Age
39
T

Truth guy.

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2013
401 44 0
Yaone! yaani wengi waliochangia hii thread ni magamba,serikali iliyoshindwa,TISS kazi yao ni kuhakikisha wanasambaratisha upinzani,NCCR tayari,CUF tayari,sasa kwa nguvu zao zote wanailia denge CHADEMA,eti nchi ina usalama wa taifa,ridiculous! kuna watu wana serikali zao ndani ya nchi na hawaguswi,nenda kahama ktk kijiji cha ilogi km 75 kutoka kahama mjini, close to Bulyanhulu mine site,kuna mzee kule maarufu kwa jina la Ng'wanamiwa,anafanya biashara ya pesa kwa riba kubwa,hana leseni kutoka BOT,hailipi serikali kodi,ni mbabe,mtu akichukua pesa kwake akashindwa kurejesha kwa muda muafaka,anapandishiwa riba,laki 2 inakuwa laki 7,ndani ya miezi 3 au 4,anakusanya genge la vijana wanamvamia mdaiwa na kuchukua kila kitu nyumbani kwake,jamani kuna serikali hapo? kazi ya TISS ni nini? enzi za mwalimu hakukuwa na mtu wa kufanya hivyo,leo hii mtu yeyote mwenye vijisenti ni mbabe,Tanzania haivutii kuishi.
 
K

KISHOMBO

Senior Member
Joined
Jul 19, 2012
Messages
198
Likes
0
Points
33
Age
38
K

KISHOMBO

Senior Member
Joined Jul 19, 2012
198 0 33
Dr Jakaya maliza na timu yako wasikubabaishe hao
 
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2011
Messages
6,528
Likes
2,220
Points
280
Mkereketwa_Huyu

Mkereketwa_Huyu

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2011
6,528 2,220 280
Kwa Mujibu Wa Habari Za Uhakika Zilizoripotiwa Kutoka Magogoni (state House) 'Big Boss' Kwa Mara Nyingine Amekataa Katakata Team Yake Ya Ulinzi Na Usalama Isi-staafu Na Ameagiza Wapewe Mikata Mipya Walau Hadi 2015 Baada Ya Uchaguzi Mkuu.. Wote Tunakumbu Igp Mwema, Kova, Mangu, Kanyala Ilikuwa Wastaafu June Mwaka Huu Lakn Kwa Sababu Zisizofahamika Walipewa Mikataba Ya Miezi Sita Hadi Dec 31 Mwaka Huu... Ajabu Watu Wakiwa Bado Wanaulizia Mikataba Hiyo Sasa Wameongezwa Mikataba Mipya Tena Mirefu Ya Hadi 2015..! Katika Kundi Hili Wako Akina Mwema, Zoka, Kova, Kanyala, Mangu Na Wengne Wengi... My Take Hivi 'Big Boss' Katika Idara Hizi Kawaona Hao Tuu...? Mbona Kuna Watumishi Wengi Wanaoweza Kuchukua Nafasi Zao Kuna Nini Mpaka Awang'ang'anie Hawa Watu....???

Ule ni usanii tu kwani anafanya vile kudanganya watanzana kuwa hawa watu wanajuwa kazi kumbe hakuna. Ki ukweli ni kwamba hawa watu ndiyo wanaolinda wauza unga wakubwa hapa nchini na hata yeye Kikwete anajuwa hivyo. Kule kuomba kutaafu ni propaganda tu au tuite danganya toto.
 
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2008
Messages
8,490
Likes
3,085
Points
280
SMU

SMU

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2008
8,490 3,085 280
Rais amebakiza miaka miwili kama sio mmoja na ushee kustaafu...binafsi naona ni busara kubaki na safu yake till amalize muda wake ili kukwepa gharama mara mbili kwa maana say anamstaafisha IGP,atalazimika kumteua mwingine whom baada ya miaka miwili atabadilishwa tena ikiingia safu mpya ya uongozi!...
Lakini nadhani jambo hili linaonesha udhaifu mkubwa sana kwa maana kuwa Urais na hata vyombo vya usalama haviendeshiwi kitaasisi kama inavyotakikana. Urais ni taasisi na kwa kweli kama na hivi vyombo vyote vingekuwa vinaendeshwa kitaasisi (kwa maana yake hasa), hili unalosema lisingepaswa kuwa ni sababu. Umri wa mtu ni factual. Wakati wanateuliwa (supposedly) umri wao ulikuwa ukijulikana kwa mamlaka ya uteuzi.
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,665
Likes
5,564
Points
280
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,665 5,564 280
Lakini nadhani jambo hili linaonesha udhaifu mkubwa sana kwa maana kuwa Urais na hata vyombo vya usalama haviendeshiwi kitaasisi kama inavyotakikana. Urais ni taasisi na kwa kweli kama na hivi vyombo vyote vingekuwa vinaendeshwa kitaasisi (kwa maana yake hasa), hili unalosema lisingepaswa kuwa ni sababu. Umri wa mtu ni factual. Wakati wanateuliwa (supposedly) umri wao ulikuwa ukijulikana kwa mamlaka ya uteuzi.
Kama vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vingekuwa vinaendeshwa kitaasisi ingekuwa story tofauti...mathalan mkuu wa TISS angetakiwa achaguliwe na mfumo ili awe huru kufanya kazi yake ya kushauri na kuangalia mienendo inayotia shaka ya taasisi nyingine bt look...atamsemaje bosi wake vibaya...
 
M

Mshirazy

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
421
Likes
4
Points
0
M

Mshirazy

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
421 4 0
hongera mhe rais wetu Dr kikwete!!!
 
K

Kilangila

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Messages
622
Likes
184
Points
60
K

Kilangila

JF-Expert Member
Joined Jul 22, 2013
622 184 60
Kwa usalama wake lazima hao wabaki naye. Anajitambua kwamba bila hao emekwisha.
 
M

mikogo

Senior Member
Joined
Jul 24, 2011
Messages
175
Likes
4
Points
35
M

mikogo

Senior Member
Joined Jul 24, 2011
175 4 35
hoja hapa ni maamuzi ya Rais. shida iko wapi? tusiwe tunapinga kila kitu.
 
M

mathabane

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Messages
1,900
Likes
721
Points
280
M

mathabane

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2013
1,900 721 280
Kwa Mujibu Wa Habari Za Uhakika Zilizoripotiwa Kutoka Magogoni (state House) 'Big Boss' Kwa Mara Nyingine Amekataa Katakata Team Yake Ya Ulinzi Na Usalama Isi-staafu Na Ameagiza Wapewe Mikata Mipya Walau Hadi 2015 Baada Ya Uchaguzi Mkuu.. Wote Tunakumbu Igp Mwema, Kova, Mangu, Kanyala Ilikuwa Wastaafu June Mwaka Huu Lakn Kwa Sababu Zisizofahamika Walipewa Mikataba Ya Miezi Sita Hadi Dec 31 Mwaka Huu... Ajabu Watu Wakiwa Bado Wanaulizia Mikataba Hiyo Sasa Wameongezwa Mikataba Mipya Tena Mirefu Ya Hadi 2015..! Katika Kundi Hili Wako Akina Mwema, Zoka, Kova, Kanyala, Mangu Na Wengne Wengi... My Take Hivi 'Big Boss' Katika Idara Hizi Kawaona Hao Tuu...? Mbona Kuna Watumishi Wengi Wanaoweza Kuchukua Nafasi Zao Kuna Nini Mpaka Awang'ang'anie Hawa Watu....???
Acha uroho wa madaraka ndugu yangu!
 
K

kimavi10

Member
Joined
Apr 27, 2013
Messages
33
Likes
0
Points
0
Age
31
K

kimavi10

Member
Joined Apr 27, 2013
33 0 0
acha uroho wa madaraka ndugu yangu!
kwani mleta mada anataka madaraka au ameonesha hali halisi kwa bosi kubwa kukumbatia watu wale wale ingawa serikali imewasomesha Na Watu Wengne waje kuitumikia nchi lakini wanabaniwa..
 
K

kaniki2

Senior Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
124
Likes
6
Points
0
K

kaniki2

Senior Member
Joined Nov 6, 2012
124 6 0
Kwa Mujibu Wa Habari Za Uhakika Zilizoripotiwa Kutoka Magogoni (state House) 'Big Boss' Kwa Mara Nyingine Amekataa Katakata Team Yake Ya Ulinzi Na Usalama Isi-staafu Na Ameagiza Wapewe Mikata Mipya Walau Hadi 2015 Baada Ya Uchaguzi Mkuu.. Wote Tunakumbu Igp Mwema, Kova, Mangu, Kanyala Ilikuwa Wastaafu June Mwaka Huu Lakn Kwa Sababu Zisizofahamika Walipewa Mikataba Ya Miezi Sita Hadi Dec 31 Mwaka Huu... Ajabu Watu Wakiwa Bado Wanaulizia Mikataba Hiyo Sasa Wameongezwa Mikataba Mipya Tena Mirefu Ya Hadi 2015..! Katika Kundi Hili Wako Akina Mwema, Zoka, Kova, Kanyala, Mangu Na Wengne Wengi... My Take Hivi 'Big Boss' Katika Idara Hizi Kawaona Hao Tuu...? Mbona Kuna Watumishi Wengi Wanaoweza Kuchukua Nafasi Zao Kuna Nini Mpaka Awang'ang'anie Hawa Watu....???
Kama habari hii ni kweli, mkuu atakuwa anafanya mzaha katika jambo nyeti.
 
Forum statistics

Threads 1,252,098
Members 481,989
Posts 29,795,303