Shoga anataka kuniharibia ndoa msaada wenu jamani

Shoga anataka kuniharibia ndoa msaada wenu jamani

mweleze mkeo ukweli mshirikiane katika kupambana na hilo jinamizi

then block namba yake

akizidi mpige mkwara

asiposikia mpege vitasa( tahadhari na jela tu, usije ukamrestisha)
Huu ndo ushauri mzuri wa kuufuata,mshirikishe mkeo
 
Weka nqmba yake hapa, nitaongoza kampeni ya wa JF wote kumtumia sms wakimtaka aachane na wewe.
 
Kweli kabisa hana mpya...
Yeye kama vipi akalambe tope hilo.....!!!!!!!!!!


Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Ptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Huyu jamaa hafai kabisa!!!!!!!!
 
Na kweli inaonesha hajawa serious na anapenda anavyotafutwa kifupi hamkeli


Uamuzi anaujua mwenyewe coz kwenye kumkataza haoneshi ushirikiano
 
Kaka badili hata no ya simu,ukiliendekeza hilo bwabwa litakufanya hat udharaulike kwenye jamii.
 
Mwanaume mzima rijali,unakuja omba ushauri huku kuhusu shoga,?seriously???
Sema tu
Umesha-shawishika wewe.....
 
Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.

Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila siku
Nimejaribu kumkanya ila naona hasikii hadi wife ameshtukia nakuanza kugomba.

Ameniambia hata nifanye nini lazima nimlale mimi huo mchezo si uwezi kabisa


Msaada please nimuepuke huyu jamaa
twanga kinu hicho kijana acha kupoteza fursa
 
Hivi kwenye Katiba mpya haiwezekani tukapendekeza kipengele jamaa hawa kupigwa mawe mpaka wafe?
 
Back
Top Bottom