CHADEMA: Anguko kanda ya ziwa mashariki

CHADEMA: Anguko kanda ya ziwa mashariki

hahahhahaha,,unafurahisha mkuu,,nilikuwa shinyanga wiki moja iliyopita na influence ya masele ni zaidi ya ufikirivyo,,

ASANTE SANA!
Naona uliendesha HOUSEHOLDS survey ndo ukapata jibu hilo!
Kwa kuwa kwako Shinyanga kunamaanisha ndo kuwa kanda ya ziwa Magharibi nzima?!
2014 haiko mbali aisee!
 
wajinga wakubwa,mnataka tusiiongelee chadema kwa misingi ipi? After all mnaozungumza hampo maeneo haya,mnataka tusiseme ujinga unaofanyika ndani ya chadema? Huu ni ujinga na upuuzi,kwahyo issue ya kujadili ni ya ccm tu,chadema tusiseme? Stupid mind

Tehe tehe tehe....mimi napita tu....huku naimba kawimbo kaleeee.....cha enzi zileeee

...wape wapeeeee vidonge vyao....wakimeza wakitema shauri yao....
 
JF imekosa uelekeo,mnataka kutupangia tuongee nini na tusiongee kitu gani,udhaifu wa chadema usiguswe?? Acheni kutukaririsha ujinga,siwezi kukariri upumbavu yeyote anayevurunda tumseme

Wewe mwenyewe unaongea huohuo upumbavu tu mbona! Gamba we!
 
Masele hata yeye mwenyewe anajua kuwa hakushinda 2010 ndio maana anapambana kushinda 2015. (R.I.P. BOB MAKANI)
 
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--

BUNUNGULI,

Ungefanya tafiti ingependeza sana na ungelinda credibility ya JF pia.

Ukweli ni Kuwa Kanda ya Ziwa Mashariki haijazinduluwa na ina uongozi wa Muda.Itazinduliwa rasmi siku chache zijazo.
 
Last edited by a moderator:
Kumekuwa na kanda mbalimbali za cCHADEMA,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa CHADEMA itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa M4C cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--

Muulize masha, alidondosha bonge la mchozi? Hana hamu tena na TZ.
 
chadema kama hujatoka mikoa fulani hakuna uongozi ndiyo maana ukifuatilia kwa karibu viongozi wa chadema ngazi ya vyo 99% wanatoka arusha na klm,jiulize ni kwa nini

Chadema inajali umakini wa mtu sio katoka kanda gani, haya nambie hata hao unaosema wanatoka kanda flani ni nani yuko shalow ktk uongoz? Kama sio wote wanainyima usingz ccm? Hatuwez kuweka tu viongoz ili ku balance kanda,no tunaweka watu makini hata kama wote watatoka familia moja
 
Ni kweli mkuu, ccm kimekuwa ni chama cha ugaidi plus ufisadi juuu...ni lazima kife kwa kweli.

usipoteze dira. kwa sasa ukisikia chama cha kigaidi ujue ni CHADEMA. hujui ugaidi uliofanywa na chdm kule Soweto arusha? huna habari za vikosi vya kigaid vya red brigade ambavyo viko chini ya chdm? uko nchi gani dogo?
 
Magamba bana,muda wote wanatema cheche za mawazo mgando
 
kumekuwa na kanda mbalimbali za cchadema,hali ni tofauti sana kanda ya ziwa maahariki ambayo kinyume na utaratibu ina viongozi kutoka mikoa tofauti na kanda hii,kwa mpango huu wa chadema itakuwa ngumu kuwang'oa akina cheyo,chenge,masele,maige,mpina,nyangwine na wengineo,nashangaa chama kilitangaza nafasi za vijana wazibe nafasi za uongozi wa m4c cha ajabu hakuna kilichofanyika,walijipachika kama kawaida yao--
kanda ya ziwa mashariki au tanzania nzima hawa cdm hawana chao baada ya watu kuwashtukia labda kwa asiyw wajua ndio atawafuata lakini kiuhalisia jamaa ni magaidi,wezi wabinafsi na zaidi ni wadini wa kupindkia... Hawafai kupewa nchi hata nusu dakika....
 
Back
Top Bottom