A clear rejection is better than a fake promise. Kwani inachukua dakika ngapi kusema jamani eee ajira ma mwaka huu hazipo tutakapowahitaji tutawaambia baada ya kumaliza sarakasi zetu au mimi ndo sielewi labda
Hama hela huyu jamaa anadai kasave hebu nambieni tangu kaanza kusave hizo nini kimefanyika zaidi ya porojo na kujiona mungu mtu kila kona saizi hali ni mbaya mbaya. Anachokifanya ni kupilizia dawa ya mbu usoni kwa mtoto kisa mbu katua kwa pua ya mtoto. Akili matapishi. Ngoja nitunze maneno...
Asante. Nyingi ni story za kukatishana tamaa tu maskini bhana. It like mtu hana hela ya nauli basi akikutwa anatembea badala ya kusema ukweli hana nauli anasema nafanya zoezi. Tuache majungu tufanye kazi na tuheahimu jasho letu tutafanikiwa. Angalia historua za maboss wengi utagundua walianza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.