Ni nani anayesema kuna ukame nchini?

Ni nani anayesema kuna ukame nchini?

Wachochezi mkuu ndoo wanasema kuna ukame. Na hata hiyo Picha na Photoshop. Hakuna rangi tutaacha kuona. Sio bure kuna kitu Mungu anataka kutufundisha watanzania. Nimezisoma nyaraka za kichochezi toka kwa viongozi wa dini juu ya hili ukiwemo wa TEC.
Utapigwa sasa
Wale viongozi wa dini wamehongwa na wafanyabiashara
 
Sio serikali iliyozuia mvua, kwa hiyo msitarajie chakula cha msaada. Mwafaaaa
 
Acha uchochezi mkuu, unataka kuigombanisha serikali na wananchi wake nini? Umeambiwa nchi haina ukame wewe unabisha, au hujui kuwa yeye ndo anayejua hali ya hewa ya kila mahali?

Nami pia ni mmoja wa wananchi unaowataja na nianaishi sehemu ambayo imekumbwa na ukame tumepanda mazao yameanza kunyauka na mengine yamedumaa kwa ukame alafu bwana yule anasema hakina ukame huko ni kutuongopea.
 
Katika janga kama hili Mungu pekee ndie anaeweza kututoa hapo maana miungu watu wao hawajui hata bei za vyakula wanapelekewa tu tena mezani, sasa hawataki hata wenye mahitaji kusaidiwa.
 
Wachochezi mkuu ndoo wanasema kuna ukame. Na hata hiyo Picha na Photoshop. Hakuna rangi tutaacha kuona. Sio bure kuna kitu Mungu anataka kutufundisha watanzania. Nimezisoma nyaraka za kichochezi toka kwa viongozi wa dini juu ya hili ukiwemo wa TEC.
Wenye "macho mawili" wakiisoma post hii watakukosoa but kwa "macho ya ziada", ha ha haaaa hakika huu ni uchochezi. Hata mimi, ninaona "kijani kitupu" kwenye picha hiyo...[emoji12] [emoji12]
 
Lakini hata watanzania waliopiga kura juzi wamekubaliana hapa kuwa tatizo si njaa wala ukame bali watu hawataki kufanya kazi!Basi lazima watu wafanye kazi!
 
3b71234a71b08c432ed1f42df30e3e7e.jpg

Kwa kijani hiki, anayesema kuna ukame ana lake jambo.

Tuna ardhi yenye rutuba, inayohimili rashda na kashda za nyakati zote. Ukame utoke wapi?

Tuache uvivu, tufanye kazi. Hakuna vya bure.
Halafu jimama likitoka hapo linaenda kutangaza hakuna ukame nchini!! Na wala hatuna hofu ya njaa!!
 
hapo ni wapi? ukame upo lakini bado hatujaweka ushahidi wa kutosha kuthibitisha. kama hiyo migombba ni Kagera au Rungwe ni hatari. lakini kama ni Ruvuma huo ni uchochezi.

Mkuu kwani picha si inajieleza hapo ?..Au kutajiwa eneo ndio italeta mantiki ipi ?.
 
Ikiwezekana mtoei hata meno anaesema hayo maana anatumia vibaya kinywa chake. Nchi ya mwendo kasi hii sijapata kuona katika historia ya ulimwengu
 
3b71234a71b08c432ed1f42df30e3e7e.jpg

Kwa kijani hiki, anayesema kuna ukame ana lake jambo.

Tuna ardhi yenye rutuba, inayohimili rashda na kashda za nyakati zote. Ukame utoke wapi?

Tuache uvivu, tufanye kazi. Hakuna vya bure.
Ukiona hadi migomba unakauka ujue hali ni mbaya sana. Uyu magufuli ashajiona mungu au tunaweza kusema kalewa madaraka.
 
Tangu lini sirikali ikawa n'a njaa au ukame,wao hawawezi liona hilo ....akili za kuambiwa changanya na zako.....ebboh

Ova
 
hapo ni wapi? ukame upo lakini bado hatujaweka ushahidi wa kutosha kuthibitisha. kama hiyo migombba ni Kagera au Rungwe ni hatari. lakini kama ni Ruvuma huo ni uchochezi.

Kama hiyo migomba ni Dodoma huo ni uchochezi.
 
Sijui labda kwingine ni kijani. Mbona hapa kwetu hakuna zao linaloanza kuota? Labda yataota baadae? TUNAOMBA MUNGU ATUBARIKI. Naamini njaa haitakuwepo.
Amen RA. ...mvua zitanyesha tena za baraka kubwa. ..IMANI NDIYO ITAKAYO TUPONYA NA KILA KITU. ...
 
Tumwombe MOLA atupe hekima na busara za kuanzisha kilimo cha kumwagilia nchi nzima. ...tusitegemee mvua kabisa ....ehh Mwenye Enzi Mungu atuongoze milele
 
Back
Top Bottom