mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Kila kitu inaonekana mpaka mkulu wa kaya atoe TAMKO, hivi hii wizara imefanya lipi kwa umma toka JPM aingie madarakani?
WIZARA IMEFELI HAYA,
1.Imeshindwa kumaliza uhakiki ndani ya muda iliopewa I.e miez 2
2.Imeshindwa kutoa ajira ndani ya mwaka mzima wakati uhitaji ni Mkubwa wa wataalamu mbali mbali.
3.Imeshindwa kupandisha madaraja, kuongeza mshahara, kutoa uhamisho, imeshndwa pia kusinamia Malipo ya stahiki za watumishi.
4.Haijawahi kutoa tangazo au taarfa kwa umma zaidi ya MATAMKO na MAKANUSHO.
5.Imeshindwa kutoa tathmini na taarfa juu ya zoezi la uhakiki japo imetumia zaidi ya miez 7 ikifanya uhakiki huo.
NOTE; Mimi binafsi sijaona kazi ya hii wizara zaidi ya kuleta chuki kwa wananchi wengi hasa vijana na kuchukia uongozi wa awamu 5, je kimya kingi kina mshindo? Nini mawazo yako ndugu ktk wizara hii na uelekeo wake?