Naomba ushauri; amesema hanitaki na nisimtafute tena

Naomba ushauri; amesema hanitaki na nisimtafute tena

shukuru hata kakwambia hakutaki tena kuliko angekuwa anaendelea kukudanganya tu, afu acha habari zako eti huwez kuish bila yeye mnashea pumzi au? tena mwambie mungu asante maana vitu vingine vinakujaga vinaumiza afu unalaumu kumbe ndo mungu anakuepusha mapemaa.
 
tatizo kubwa mnalolifanya vijana wa leo ni hili hapa. Kwanza mapenzi ni process, unatakiwa kumpenda mtu kuanzia 1% na kuongeza kidogo kwa kadri muda unavyoenda na kwa jinsi unavyoridhika lakini, vijana wa siku hizi unamuona mtu siku moja na unampenda 100% siku hiyo hiyo, mwisho ndio kujinyonga. Pili huwezi kumpenda mtu kwa 100%, lazima utajinyonga tu. Kwa dunia ya leo ukipenda sana basi isizidi 60% ili hizo 40% zinazobaki zitatakusaidia ukikataliwa, ie. 60% ananipenda: 40% hanipendi iwe kichwani mwako, hapo utaishi kwa amani hata ukikataliwa. Mwisho huko chuoni hakuna mapenzi ya kweli wengi wana mapenzi ya chipsi kuku tu, usimpende mtu chuoni. Vyuoni maigizo matupu mtajinyonga sana ndugu zangu ooh. Jikaze kiume jifanye kama vile amefariki hivi, kisha anza mdogo mdogo, usikae peke yako piga story na washikaji, tembea maeneo tofauti, jitahidi usionane nae wala kuongea nae itakuongezea machungu. Mpotezee ukiendelea kumkomalia mabinti hawa wa UDSM atakuitia mwizi tuu
 
Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.
Nimekua nikijihusisha katika mahusiano na binti mrembo ivi nilimaliza nae chuo UDSm mwakajana.

Sasa mpenzi wangu huyu sikuwahi kumgegeda licha ya kila kitu kuwa sawa na amewahi fika geto kwangu zaidi ya maramoja huku nikimuomba tunda anasema niwe na subira hadi hapo tutakapo funga ndoa!
Kiukweli nampenda sana na nilimvumilia kwa yote hayo.

Ndio jana jioni kaniambia nisimtafute nisimsumbue na wala kumpigia simu kwani kwa sasa anampenzi wake haitaji nimuaribie. Hii imetokea ghafla tu bila sababu yoyote na mpaka sasa hataki hata kunisikia kabisa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje uyu mtoto anirudie maana sina namna ya kuishi bila yeye

Msaada wenu tafadhari
Achana naye!
 
Kwa kawaida demu akishakwambia hivo jibu zuria kumjibu ni "OK" then unafuta namba zake maisha yanaendelea.Mwanaume lazma ujue kubadili gia angani.
 
Nimekua nikifuatilia mada mbalimbali hapa jamvini, leo yamenikuta ni vema niwashirikishe wakuu naweza pata mawazo mbadala wa masahibu haya.
Nimekua nikijihusisha katika mahusiano na binti mrembo ivi nilimaliza nae chuo UDSm mwakajana.

Sasa mpenzi wangu huyu sikuwahi kumgegeda licha ya kila kitu kuwa sawa na amewahi fika geto kwangu zaidi ya maramoja huku nikimuomba tunda anasema niwe na subira hadi hapo tutakapo funga ndoa!
Kiukweli nampenda sana na nilimvumilia kwa yote hayo.

Ndio jana jioni kaniambia nisimtafute nisimsumbue na wala kumpigia simu kwani kwa sasa anampenzi wake haitaji nimuaribie. Hii imetokea ghafla tu bila sababu yoyote na mpaka sasa hataki hata kunisikia kabisa

Wakuu naombeni ushauri nifanyeje uyu mtoto anirudie maana sina namna ya kuishi bila yeye

Msaada wenu tafadhari
Chukua kamba, nenda kafunge kwenye mti, tengeneza bembea ubembee kwa raha zako
 
Ni ngumu kumsahau ila jitahidi fanya ivo kwa ajili yako mwenyewe itakusaudia so mwache aende nazungumza from experience.
 
Ebu Fanya uchunguzi mpenzi wake huyo ana nini cha zaidi yako kama amekushinda kiuchumi achana tafuta mwingine awe mkali zaidi yake
 
Kuna wimbo flani hivi aliimba banana zorro nadhani unaitwa zoba.
Hebu mkuu utafute u download na usikilize vizuri ikiwezekana upate hata video yani majibu yako yako mle.
Haha!!!
"Subira yangu ndio iloniponza ngoja-ngoja naonekana Zoba kwa sababu nilimupenda kweli"

Next time asifanye Ujinga tena, subira-subira kwani dada yake huyo.
 
Back
Top Bottom