Pipi na juisi kutumika Ikulu katika dhifa imekaaje hii?

Mwaka jana kuna balozi sitaki kumtaja anatoka nchi gani alionekana anatoka hapo akiwa na viatu vimejaa vumbi. Wengi walimiss ile kitu na mimi niliamua kunyamaza ila nina uhakika nia yake ilikuwa kutupa ujumbe. Ki ukweli, hauwezi kuiangalia nchi hii na jinsi tunavyoiendesha halafu ukaiheshimu.
 
Labda pengine mnakosa uzoefu wa kuhudhuria dhifa kubwa katika sehemu kubwa kubwa....pipi, maji, juice ni vitu common sana!
 
Hii combination ya pipi na juice ndiyo ninaiona hata kwenye kindergarten parties si hivyo, hata korosho kutoka Mtwara na Karanga hakuna.
Sasa kama kuna njaa wafanyeje mkuu!

Mkiambiwa kuna njaa hamuamini , mkipewa 'ushahidi' mnalalama! Tz ya viwanda
 
Kabisa mkuu! Halafu jamaa anajifanya eti humble anajidai kuwahudumia. Haina tofauti na mafarisayo, masadukayo, nakuhani na wanasheria enzi za Yesu. Kujifanya wao watakatifu wakati ni mafisadi wakubwa!
Cha ajabu huyo mkuu ana kundi lake linalofanya kazi ya kusifia kila kitu,hapo watapiga vigelegele na kusifu kwamba jamaa anabana matumizi wakati wenye macho tunaona anatuvika kilemba cha ukoka
 
Pipi kifua na juice ya embe..teh teh sijui unapata flavor gani aisee.,mixer toffy na juice ya passion haha
 
Juice glass 1 = tsh 1000 pipi tsh = 200 jumla 1200 Hii inatosha kabisa kumlisha kila mtu ugali na mboga ya majani... huo ni ufupi wa kufikiria
 
Hama hela huyu jamaa anadai kasave hebu nambieni tangu kaanza kusave hizo nini kimefanyika zaidi ya porojo na kujiona mungu mtu kila kona saizi hali ni mbaya mbaya. Anachokifanya ni kupilizia dawa ya mbu usoni kwa mtoto kisa mbu katua kwa pua ya mtoto. Akili matapishi. Ngoja nitunze maneno hawakawii siku hizi kukusaka na kudai unamitusi. Vijana tumemaliza vyuo hamsemi kitu sasa kama hamtupi takataka shimo hili mlichomba la nini. Akili za asubuhi tu hizi. Pined
 
Sasa na hiyo bakuli mbona ya kishanba mno. Hata ikulu hakuna vyombo vya heshima. Utadhani anachota ugali.
 
Back
Top Bottom