Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 495
Tupo tayari kusikia na kupokea taarifa iliyo rasmi, hata kama ajira hakuna tuambieni tu kama mlivyofanya kwa Walimu tarajali wa masomo ya sanaa.
Kama ni uvumilivu tumefanya wa kutosha sana. Wahusika kuweni wawazi japo muda tayari mmetupotezea wa kutosha.
Zoezi hili la kutupotezea limetuchosha sana.
Tunachotaka kutoka kwenu siyo ajira tena, ni taarifa rasmi aidha ajira ni mwezi au mwaka fulani ikibidi hata tarehe itajwe kabisa au hakuna ajira serikalini kwa sasa.
Haichukui hata dakika mbili kutuweka wazi, masuala ya kulaumiana yatakuwa ndo mwisho iwapo mtatoa kauli moja ya kueleweka, tumechoka na kauli zenu za mapema mwaka huu mara muda wowote kuanzia sasa.
Mmemfanya mheshimiwa Jaffo hazungumzii tena suala hili, maana kaanza kudanganya umma na kauli yake ya mapema mwaka huu kuanzia JANUARY nwaka jana, kadanganya Bunge katika hutoba ya Bajeti ya wizara yake uk.27
Yaani......