Recent content by kimanganuni

  1. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Anfalia ufundi wa uumbaji wa Mungu,hewa ya oxygen ya bure, mfumo wa mwili wako, uwepo wa usiku na mchana. Je hivi vinatokea kwa bahati mbaya? HII NI NGUVU YA MUNGU. MUUMBA WA VIUMBE WOTE
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kabla dini za kigeni kuletwa Afrika, wazee wetu waliabudu nini?

    Waliamini kuwa, ipo nguvu iliyoumba vitu vyote na kuviweka katika utaratibu. Nguvu waliiita Mungu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Anayejua muuzaji wa jumla ya wine za dumu lita5

    Ndugu. Naomba kumpata msambazaji wa wine toka Dodoma
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ramani ya rahisi ya vyumba2 jiko na choo

    Salam humu Naomba mwenye ramani ya aina hii anitumie
  5. K

    JamiiForums Tanzania KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Salam Leo alhamisi saa 4.00 kutakuwa na mafunzo ya tehama na mewaka kwa shule ya mchikichini .B Walimu wote wanapaswA kuhudhuria
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Aisee
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais kuhusiana na ruhusa ya mikutano na ufafanuzi alioutoa

    Serikali imetoa suluhisho na kilio cha upinzani cha mda mrefu. Hata hivyo umakini unahitajika kwenye hii mikutano kwani sheriazs uendeshaji zipo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, mlango huu unafaa kukaa mbele ya nyumba?

    Mlango wa mbele .. dable door
  9. K

    JamiiForums Tanzania Je, mlango huu unafaa kukaa mbele ya nyumba?

    Laki 4 na nusu pamoja na frem yake ie ilebya bati gumu mithili ya mbao
  10. K

    JamiiForums Tanzania Je, mlango huu unafaa kukaa mbele ya nyumba?

    Nimeuna mlango huu je ni mzuri kuwepo mbele?
  11. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mlango mzuri wa Grill

    Habari za sa hizi wadau, Nipo katika ujenzi. Napata shida kupata mlango mzuri wa grill/ chuma. Dable door. Wadau naomba mwenye picha atupie
  12. K

    JamiiForums Tanzania Majibizano ya Rais Samia na Spika yanaweza kuleta Anarchy!

    Halu tete
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu

    So what? Cha kushangaza nini?
  14. K

    JamiiForums Tanzania Profesa Ndalichako: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na masomo kwa njia mbadala

    Toa suluisho, sio lawama
Back
Top Bottom