Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Wengine walifia pale kipundupindu kiliwapindua safari yao ikaishia pale, wengine walikuwa omba omba ili wapate nauli ya kurudia makwao waliko toka, wasabato masalia hao.
Asante Mkuu kunikumbusha, wangekuja kunipinga hawa wasabato
 
Utajijua wewe ,Mimi sizungumzii usabato nazungumzia kilichopo ndani ya maandiko au hujui ukatoliki ni upagani?
nakuita Msabato Mjinga kwani huelewi Dini zote zenye wafuasi wa Kristo zimeanza na ukatoliki
Huwezi kuwa mfuasi wa Kristo labda ni mpagani
kasome tena Yesu alimkabidhi nani kazi zake kama sio Petro (Peter) alipomwambia NDANI YA MWAMBA HUU UTALIJENGA KANISA na ndiye Papa wa kwanza mwaka 40AD
Unataka kulinganisha na SDA la juzi 1925 lilipotoka kwa wa Protestant huko Marekani 1863
sijawahi ona kitukuu akimtukana Babu km hizi Historia hamzijui au kuzitafuta usijisemee tu UPAGANI
Seventh-day Adventist Church - Wikipedia
Catholic Church - Wikipedia
 
Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17 anaelezwa kuwa

“alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].

Asema hivi yule Nabii:

“Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.” Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18.
ae7a1c4de023bbda2da0a25e30e725f6.jpg

Tyndale aliuliwa na utawala wa kipapa kwa kutafsiri biblia...

Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao],
da95cf61b762f5a8bb3ffa13c0e24c5f.jpg

b601c77df03518a6574d5fdbdf97b1ea.jpg

mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,” kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo.

Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.

014c67cfdb1f454cb6ffad5c5931e2e5.jpg

2d74043e7497ad8b2d6a027cbaa597c5.jpg

Mmekaririshwa vibaya nyie Wasabato. Hebu soma hapa (Ufunuo 18: 1 - 20):

MLANGO 18
Baada ya hayo naliona malaika mwingine, akishuka kutoka mbinguni, mwenye mamlaka kuu; na nchi ikaangazwa kwa utukufu wake.
2 Akalia kwa sauti kuu, akisema, Umeanguka, umeanguka Babeli ule mkuu; umekuwa maskani ya mashetani, na ngome ya kila roho mchafu, na ngome ya kila ndege mchafu mwenye kuchukiza;
3 kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.
4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
5 Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
6 Mlipeni kama yeye alivyolipa, mkamlipe mara mbili kwa kadiri ya matendo yake. Katika kikombe kile alichokichanganyisha, mchanganyishieni maradufu.
7 Kwa kadiri alivyojitukuza na kufanya anasa, mpeni maumivu na huzuni kadiri iyo hiyo. Kwa kuwa husema moyoni mwake, Nimeketi malkia, wala si mjane, wala sitaona huzuni kamwe.
8 Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni mwenye nguvu.
9 Na hao wafalme wa nchi, waliozini naye na kufanya anasa pamoja naye, watalia na kumwombolezea; wauonapo moshi wa kuungua kwake;
10 wakisimama mbali kwa hofu ya maumivu yake, wakisema, Ole, ole, mji ule ulio mkuu, Babeli, mji ule ulio na nguvu! Kwa kuwa katika saa moja hukumu yako imekuja.
11 Nao wafanya biashara wa nchi walia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa yao tena;
12 bidhaa ya dhahabu, na fedha, na kito chenye thamani, na lulu, na kitani nzuri, na nguo ya rangi ya zambarau, na hariri, na nguo nyekundu; na kila mti wa uudi, na kila chombo cha pembe, na kila chombo cha mti wa thamani nyingi, na cha shaba, na cha chuma, na cha marimari;
13 na mdalasini, na iliki, na uvumba, na marhamu, na ubani, na mvinyo, na mafuta ya mzeituni, na unga mzuri, na ngano, na ng'ombe, na kondoo, na farasi, na magari, na miili na roho za wanadamu.
14 Na matunda yaliyotamaniwa na roho yako yamekuondokea; na vitu vyote vilivyo laini na vitu vya fahari vimekupotea; wala watu hawataviona tena kamwe.
15 Na wafanya biashara ya vitu hivyo, waliopata mali kwake, watasimama mbali, kwa hofu ya maumivu yake; wakilia na kuomboleza,
16 wakisema, Ole, ole, mji ule mkuu! Uliovikwa kitani nzuri, na nguo ya rangi ya zambarau, na nguo nyekundu, na kupambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu;
17 kwa kuwa katika saa moja utajiri mwingi namna hii umekuwa ukiwa. Na kila nahodha na kila aendaye mahali popote kwa matanga, na mabaharia, nao wote watendao kazi baharini, wakasimama mbali;
18 wakalia sana, walipouona moshi wa kuungua kwake, wakisema, Ni mji upi ulio mfano wa mji huu mkubwa!
19 Wakatupa mavumbi juu ya vichwa vyao, wakalia, wakitokwa na machozi na kuomboleza, wakisema, Ole, ole, mji ule ulio mkuu! Ambao ndani yake wote wenye merikebu baharini walipata mali kwa utajiri wake; kwa kuwa katika saa moja umekuwa ukiwa.
20 Furahini juu yake, enyi mbingu, nanyi watakatifu na mitume na manabii; kwa maana Mungu amehukumu hukumu yenu juu yake"

Sasa hebu tuambie; Vatican ina bandari? Vatican inafanya biashara gani?. Unaweza kuita mji wenye wakazi 1,000 (na eneo la kilometa za mraba 0.44) kuwa ni mji mkubwa?

Wasabato (kama jamaa zenu wafuasi wa Marehemu Muhammad) mna mambo nyie watu!
 
BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA NI NANI, AU NI NINI?
andiko linasema : "Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI".
UFUNUO 17 : 5
Unaona hapo juu kwenye fungu, yani jina BABELI NI LA SIRI, hii ikimaanisha, Babeli hii itafanya kazi kwa namna ya kujificha na kutotaka ijulikane kuwa ndio Babeli yenyewe.

HEBU TUISOME KWANZA KATIKA MAANDIKO TUONE BIBLIA INACHOTUAMBIA KUHUSU BABELI HUYO MKUU NA MAMA WA MAKAHABA.

"Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi;
2 ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake.
3 Akanichukua katika Roho hata jangwani, nikaona mwanamke, ameketi juu ya mnyama mwekundu sana, mwenye kujaa majina ya makufuru, mwenye vichwa saba na pembe kumi.
4 Na mwanamke yule alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake.
5 Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, la siri, BABELI MKUU, MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.
6 Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu. Nami nilipomwona nikastaajabu ajabu kuu.
UFUNUO 17 : 1 - 6

Hapo tunaona Yesu akimfunulia mtumishi wake Yohana juu ya ujio mpya wa BABELI duniani. Haya matukio Yohana alifunuliwa kama matukio yaliyo mbele, yani yajayo baada ya siku zake. Yesu alifunua kuwa itaibuka tena BABELI lakini kwa sura tofauti kabisa na Babeli ile iliyozoeleka.

Kwa kutumia lugha ya mafumbo Yesu anamfunua BABELI huyo mkuu na MAMA WA MAKAHABA.

Sasa tunataka tumjue KAHABA HUYU MKUU NA AMBAYE NI MAMA WA MAKAHABA PIA, AITWAYE BABELI MKUU NI NANI?
Kwa kuwa haya ni mafumbo ya kimbingu, hatupaswi kujaribu kuyafumbua kibinadamu, tutaliacha Neno la Mungu litufunulie BABELI HUYU MKUU NA MAMA WA MAKAHABA ni nani?

BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA NI NANI AU NI NINI?
Biblia inamfunua..

1. Kwanza tunaona BABELI MKUU huyu ameonyeshwa kuwa ni mwanamke, maana anaitwa "mama" sote tunaelewa sifa ya mama ni ya jinsi ya kike.
Je, kwa mujibu wa Biblia mwanamke hutumika kuwakilisha nini anapotumika kama kielelezo?

- Katika Biblia "mwanamke" hutumika kuwakilisha "JAMII YA WATU WA MUNGU" ambao katika agano la kale watu hao walikuwa ni taifa la "ISRAELI"
Tunaona katika Hosea Mungu akiongea na watu wake kama aongeae na mwanamke

Nami nitakuposa uwe wangu kwa milele; naam, nitakuposa kwa haki, na kwa hukumu, na kwa ufadhili, na kwa rehema.
HOSEA 2 : 19

"Rudini, enyi watoto wenye kuasi, asema BWANA; maana mimi ni mume wenu; nami nitatwaa mtu mmoja wa mji mmoja, na wawili wa jamaa moja, nami nitawaleta hata Sayuni;
YEREMIA 3 : 14.

Katika zama za agani jipya, ambapo hakuna tofauti tena kati ya Myahudi na asiye Myahudi, mwanamke anawakilisha watu wa Mungu kwa maana ya "KANISA"

Maana nawaonea wivu, wivu wa Mungu; kwa kuwa naliwaposea mume mmoja, ili nimletee Kristo bikira safi.
2 KORINTHO 11 : 2

Kwa sababu BABELI MKUU atatokea wakati wa Agano jipya, basi BABELI huyo ATAJITOJEZA KATIKA SURA YA KANISA!
Tumejua sasa KAHABA MKUU ni kanisa kumbe.
Tuendelee...,

KWA MAANA HIYO KUMBE, KATIKA KUMSEMA BABELI MKUU YESU ALIKUWA AKIFUNUA KUHUSU KUTOKEA KWA KANISA FULANI KATIKA SIKU ZA BAADAE TOKA KATIKA SIKU HIZO ZA YOHANA WA PATMO.

2. MWANAMKE HUYO BABELI MKUU ANAONEKANA ANA SIFA YA ZIADA MBALI YA UANAMKE WAKE, ANA SIFA YA "UKAHABA"
Hii maana yake ni nini?

Katika Maandiko, mahusiano baina ya Mungu na watu wake yamefananishwa na "MAHUSIANO YA NDOA"
rejea Yeremia 3 : 14, na 2 Wakorintho 11 : 2.
Yani kanisa ni mke wa Kristo, kwa maana hiyo UKAHABA NI TENDO LA KANISA KUTOKUWA NA UAMINIFU KWA KRISTO.
Hapo tunaona KANISA HILO (Babeli mkuu) litakuwa ni kanisa lisilo na uaminifu kwa KRISTO, yani litakuwa na mabwana wengine, na waume wengine tofauti na Kristo
Lakini pia katika Hosea 3 : 1 inaonyesha UKAHABA WA WATU WA MUNGU NI KUABUDU MIUNGU WENGINE, TOFAUTI NA MUNGU WAO.
Hivyo kanisa hilo litakuwa linachanganya ibada ya Mungu Muumbaji, na ibada za miungu wengine, HUO NDIO UKAHABA WA KANISA HILO.

BABELI MKUU ALIKUWA AMEKETI JUU YA MAJI MENGI.
Maji mengi ni nini?
"Kisha akaniambia, Yale maji uliyoyaona, hapo aketipo yule kahaba, ni jamaa na makutano na mataifa na lugha".
UFUNUO 17 : 5
Hii inaonyesha kuwa kanisa hilo, litasambaa dunia nzima, kwenye kila makutano, kila kabila, kila lugha na kila jamaa litakuwepo.
Lakini pia, inaonyesha kanisa hili, litakuwa ni kanisa la WATU WENGI, litakuwa ni kanisa kubwa na lenye kila aina ya watu ndani yake, kwa idadi kubwa sana.

3. BABELI MKUU (kanisa) ALIKUWA AMEPANDA MNYAMA.
Mnyama anapotumika kama kielelezo huwakilisha "FALME au TAWALA.
Soma Daniel 7 : 17 na Daniel 7 : 23
"Wanyama hao wakubwa walio wanne ni wafalme wanne watakaotokea dunian".
DANIEL 7 : 17.

Kama ambavyo mtoto aliyebebwa anavyomtegemea aliyembeba, ndivyo kanisa hilo (BABELI MKUU). litakavyokuwa linategemezwa na serikali za kidunia. Nguvu zake, ustawi wake utatokana na kusaidiwa na mataifa au serikali za kidunia.

4. BABELI MKUU (kanisa) ATAZINI NA WAFALME.
Hii ina maana sawa na kubebwa juu ya mnyama, lakini imeongeza uzito wa kitendo chenyewe, neno KUZINI ina maana kanisa hilo litajitegemeza kwa wafalme wa dunia na kushikamana nao, kana kwamba wao ndio wenye kanisa. Nafasi ya Kristo itaondolewa na kama matokeo ya Kristo kwa kanisa hilo itatwaliwa na wafalme hao.

5. BABELI MKUU (kanisa) AMEWALEVYA WAKAAO JUU YA NCHI KWA MVINYO WA UASHERATI WAKE.
Kwanza kabisa tuliona UASHERATI WA KANISA HILO NI KUTANGA MBALI NA KRISTO, PIA KUABUDU VINGINE VISVYO MUNGU MUUMBAJI.
Sasa hapa twafunuliwa kuwa, KANISA HILO LITAWAAMBUKIZA WALIMWENGU UASHERATI WAKE, KWA NJIA YA MAFUNDISHO YA UONGO.
MAFUNDISHO YA UONGO ndio mvinyo wa uasherati wake. Watu wataabudishwa ibada zisizokubalika kimaandiko na kanisa hilo, watu watapiga magoti mbele ya miungu ya kigeni kwa maelekezo ya kanisa hilo.
Kulewa ni kuondolewa utambuzi, jambo ambalo ukiwa na akili timamu huwezi kukubali kulifanya, ukilewa unalifanya vzr tu.
Ndivyo itakavyokuwa kwa watu hao, kama wasingenyweshwa (wasingedanganywa) mvinyo (mafundisho ya uongo) wangetambua kuwa ibada hizo ni batili na hazikubaliki.
Lakini akili hiyo ya utamuzi imeondolewa na mvinyo huo wa uasherati wa kanisa hilo.
Na Biblia inathibitisha kuwa MAFUNDISHO YA UONGO YANALEVYA, Isaya 29 : 9, 10

6. ALIKUWA NA MAJINA YA MAKUFULU KATIKA KICHWA CHAKE.
Zingatia majina hayo hayakuwa mguuni, tumboni wala mgongoni, bali yalikuwa kichwani..,
Hii maana yake ni kuwa VIONGOZI WA KANISA HILO WATAJIPA MAJINA YANAYOMSTAHILI MUNGU.

7.BABELI MKUU ALIKUWA AMEVAA NGUO YA ZAMBARAU NA NYEKUNDU.
Hii nguo maana yake nini?
Tunaposoma maandiko, tunaona RANGI NYEKUNDU MAANA YAKE NI DHAMBI, Soma Isaya 1 : 18
"Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.
ISAYA 1 : 18
Katika BIBLIA za lugha zingine mfano Biblia ya lugha ya kinyarwanda, imetaja kabisa na rangi ya zambarau pia katika fungu hilo la ISAYA.
Hivyo mavazi hayo yanaonyesha DHAMBI za kanisa. Litakuwa ni kanisa linalounga mkono dhambi, litakuwa ni kanisa ambalo lenyewe limeifanya dhambi kuwa ndio kanuni yake ya utendaji.

8. BABELI MKUU AMEPAMBWA KWA VITO, NA LULU
Hii inamaanisha nini?
Hizi, ni ishara za utajiri!
Kanisa hilo, litakuwa ni kanisa tajiri mno, lenye kuonekana wazi kwa utajiri wake, sawa na mapambo ya mwanamke yanavyoonekana wazi.
Litakuwa ni kanisa tajiri sana!

9.KIKOMBE CHA DHAHABU KILICHOJAA MACHUKIZO.
hii ina maanisha nini?
Dhahabu inaonyesha UPENDO., hili litakuwa ni kanisa ambalo litaonekana kuwa na matendo ya upendo.
Lakini kama ambavyo kikombe hicho cha dhahabu ndani kilivyokuwa na machukizo, kadhalika ndani ya hayo yatakayoonekana ni matendo ya Upendo kutakuwa na hila ya kuwaingiza watu katika kufanya MACHUKIZO dhidi ya Mungu.
10.AMELEWA KWA DAMU YA WATAKATIFU
Hii maana yake ni nini?
Kanisa hilo litawaua watu wa Mungu. Litamwaga damu ya watu ambao watakataa kushiriki uchafu wake.

11. Ana jina la siri "BABELI MKUU MAMA WA MAKAHABA NA MACHUKIZO YA NCHI.
Hii inamaanisha nini?
Kwanza tunaona hilo ni jina la siri, jina ambalo hakutaka lifahamike. Ndio maana akaja kwa sura ya mwanamke, yani alitaka afahamike kama mwanamke, kumbe hasa si mwanamke bali ni BABELI MKUU!

umeelewa mchezo?
Tuonane katika sehemu inayofuata kwa ufafanuzi wa mbinu hiyo ya kuficha jina, kuna mambo ya muhimu na nyeti sana tupaswayo kuyafahamu
 
Usilazimishe kufitisha ushahidi unaoutaka kwa kuangalia mistari uitakayo. Kitabu cha ufunuo kina habari zinazofanana na kitabu cha Daniel.

Utamfahamu kahaba kwa kuangalia sifa zake zote ikiwemo mahali mji aliomo (yaani Babeli). Huo Babeli ni LAZIMA uwe na sifa zifuatazo:
1. Mji mkubwa wenye watu wengi
2. Uwe na bandari
3. Uwe ni kitovu cha biashara
4. Na bidhaa yake kuu iwe imewafanya watawala wa dunia "wazini nae"; i.e. waka-compromise utii wao kwa Mungu Jehovah ili kuipata
5. Hiyo bidhaa ndio itakuwa chanzo cha kuangamizwa kwa huo mji.

Jaribu kuangalia mji wenye sifa zote hizo kwa pamoja na kwa wakati huo huo.
 
Mmekaririshwa vibaya nyie Wasabato. Hebu soma hapa (Ufunuo 18: 1 - 20):

MLANGO 18
Baada ya hayo naliona malaika mwingine, akishuka kutoka mbinguni, mwenye mamlaka kuu; na nchi ikaangazwa kwa utukufu wake.
2 Akalia kwa sauti kuu, akisema, Umeanguka, umeanguka Babeli ule mkuu; umekuwa maskani ya mashetani, na ngome ya kila roho mchafu, na ngome ya kila ndege mchafu mwenye kuchukiza;
3 kwa kuwa mataifa yote wamekunywa mvinyo ya ghadhabu ya uasherati wake, na wafalme wa nchi wamezini naye, na wafanya biashara wa nchi wamepata mali kwa nguvu za kiburi chake.
4 Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
5 Kwa maana dhambi zake zimefika hata mbinguni, na Mungu amekumbuka maovu yake.
6 Mlipeni kama yeye alivyolipa, mkamlipe mara mbili kwa kadiri ya matendo yake. Katika kikombe kile alichokichanganyisha, mchanganyishieni maradufu.
7 Kwa kadiri alivyojitukuza na kufanya anasa, mpeni maumivu na huzuni kadiri iyo hiyo. Kwa kuwa husema moyoni mwake, Nimeketi malkia, wala si mjane, wala sitaona huzuni kamwe.
8 Kwa sababu hiyo mapigo yake yatakuja katika siku moja, mauti, na huzuni, na njaa, naye atateketezwa kabisa kwa moto. Kwa maana Bwana Mungu aliyemhukumu ni mwenye nguvu.
9 Na hao wafalme wa nchi, waliozini naye na kufanya anasa pamoja naye, watalia na kumwombolezea; wauonapo moshi wa kuungua kwake;
10 wakisimama mbali kwa hofu ya maumivu yake, wakisema, Ole, ole, mji ule ulio mkuu, Babeli, mji ule ulio na nguvu! Kwa kuwa katika saa moja hukumu yako imekuja.
11 Nao wafanya biashara wa nchi walia na kumwombolezea, kwa sababu hapana mtu anunuaye bidhaa yao tena;
12 bidhaa ya dhahabu, na fedha, na kito chenye thamani, na lulu, na kitani nzuri, na nguo ya rangi ya zambarau, na hariri, na nguo nyekundu; na kila mti wa uudi, na kila chombo cha pembe, na kila chombo cha mti wa thamani nyingi, na cha shaba, na cha chuma, na cha marimari;
13 na mdalasini, na iliki, na uvumba, na marhamu, na ubani, na mvinyo, na mafuta ya mzeituni, na unga mzuri, na ngano, na ng'ombe, na kondoo, na farasi, na magari, na miili na roho za wanadamu.
14 Na matunda yaliyotamaniwa na roho yako yamekuondokea; na vitu vyote vilivyo laini na vitu vya fahari vimekupotea; wala watu hawataviona tena kamwe.
15 Na wafanya biashara ya vitu hivyo, waliopata mali kwake, watasimama mbali, kwa hofu ya maumivu yake; wakilia na kuomboleza,
16 wakisema, Ole, ole, mji ule mkuu! Uliovikwa kitani nzuri, na nguo ya rangi ya zambarau, na nguo nyekundu, na kupambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu;
17 kwa kuwa katika saa moja utajiri mwingi namna hii umekuwa ukiwa. Na kila nahodha na kila aendaye mahali popote kwa matanga, na mabaharia, nao wote watendao kazi baharini, wakasimama mbali;
18 wakalia sana, walipouona moshi wa kuungua kwake, wakisema, Ni mji upi ulio mfano wa mji huu mkubwa!
19 Wakatupa mavumbi juu ya vichwa vyao, wakalia, wakitokwa na machozi na kuomboleza, wakisema, Ole, ole, mji ule ulio mkuu! Ambao ndani yake wote wenye merikebu baharini walipata mali kwa utajiri wake; kwa kuwa katika saa moja umekuwa ukiwa.
20 Furahini juu yake, enyi mbingu, nanyi watakatifu na mitume na manabii; kwa maana Mungu amehukumu hukumu yenu juu yake"

Sasa hebu tuambie; Vatican ina bandari? Vatican inafanya biashara gani?. Unaweza kuita mji wenye wakazi 1,000 (na eneo la kilometa za mraba 0.44) kuwa ni mji mkubwa?

Wasabato (kama jamaa zenu wafuasi wa Marehemu Muhammad) mna mambo nyie watu!
Acha upuuzi amini vya kwako ,,pambaneni wenyewe mnao abudu dini moja ,,msabato mungu wake yesu na mromani mungu wako yesu,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wa bure; jaribu kujifunza kuandika inavyopaswa.
wasabato wapuuzi tu wanataka kujifanya wanapajua mbinguni kuliko wengine wakati hakuna aliyefika
halafu kwanini ujione upo juu ya wenzako wakati Dini imeletwa na wakuja
7th Day imetokea USA juzijuzi
 
Usilazimishe kufitisha ushahidi unaoutaka kwa kuangalia mistari uitakayo. Kitabu cha ufunuo kina habari zinazofanana na kitabu cha Daniel.

Utamfahamu kahaba kwa kuangalia sifa zake zote ikiwemo mahali mji aliomo (yaani Babeli). Huo Babeli ni LAZIMA uwe na sifa zifuatazo:
1. Mji mkubwa wenye watu wengi
2. Uwe na bandari
3. Uwe ni kitovu cha biashara
4. Na bidhaa yake kuu iwe imewafanya watawala wa dunia "wazini nae"; i.e. waka-compromise utii wao kwa Mungu Jehovah ili kuipata
5. Hiyo bidhaa ndio itakuwa chanzo cha kuangamizwa kwa huo mji.

Jaribu kuangalia mji wenye sifa zote hizo kwa pamoja na kwa wakati huo huo.
PEMBE NDOGO ----- UFALME WA PAPA AU UPAPA (538-1798
B.K.)
Ufalme wa Papa hapa unawakilishwa na Pembe Ndogo (Dan.
7:8,20,24). Ufalme huu una majina mengi katika unabii -----
Chukizo la Uharibifu, Mnyama, na kadhalika. Umewakilishwa na
Nyayo za Miguu (2:33,42). Ukatili wake usio na kifaniulidhihirika katika Zama za Giza (Dark Ages) ulipowaua zaidi ya
milioni 50 ya watu wa Mungu uliowaita "Wazushi" (Heretics).

SomaDan. 7:21,25. Tunajuaje kama huo ni Upapa? Soma Sehemu ya Pili
ya Danieli 7.

ufalme huu una majina mengikatika kitabu cha Danieli na kile cha Ufunuo. Tutajaribu
kujenga daraja la kuunganisha Danieli 7 na Ufunuo 13 kwa kuangalia vigezo vichache tu miongoni mwa vingi. Hukumuiliyotajwa katika Danieli 7 imeamua kumwondolea ufalme na
kumwangamiza, lakini baada ya kupewa utawala wake wa Awamu yaMwisho (Dan. 7:26; Ufu. 19:1-3; 18:4-8; 16:1,2,10,19-21;
17:1-11).

KIGEZO 1: PEMBE NDOGO ILIKUJA BAADA YA FALME 10 KUJITAWALA
(Dan.7:8)

Falme 10 za Ulaya Magharibi zilijitawala mwaka 476 B.K. mara tu baada ya
Ufalme wa Warumi kuangushwa. Baada ya kuanguka ufalme huoAskofu wa Rumi, ambaye baadaye aliitwa Askofu wa Maaskofu auPapa, alitawala katika mji wa Roma tu mpaka mwaka 538 B.K.alipoitawala Ulaya Magharibi. Historia inaunga mkono.

KIGEZO 2: PEMBE NDOGO ILIZING'OA PEMBE TATU KABLA YA KUTAWALA

Falme tatu zilizong'olewa kwa amri ya Papa (Dan. 7:8,20,24) ni hizi - Waheruli waling'olewa mwaka 493 B.K.; Wavandali
(Vandals) waling'olewa mwaka 534 B.K.; Waostrogothi(Ostrogoths) waling'olewa mapema mwaka 538 B.K. Mataifa hayo
matatu yalikuwa yanampinga Papa. Yale mengine 7 kufikia mwaka508 B.K. yalikubali kuwa wakatoliki kwa kulazimishwa na mfalme
wa Ufaransa, Clovis, mwana mpendwa wa Papa. Historiainathibitisha.

KIGEZO 3: PEMBE NDOGO ILIKUWA TOFAUTI NA PEMBE ZILE KUMI (Dan.
7:24). Pembe 10 ni falme za kisiasa za Ulaya Magharibi. Pembe
Ndogo ni Ufalme wa Papa wa Kidini-Kisiasa. Historia inaungamkono. Kanisa la Kikristo ulimwenguni halina utawala wa kisiasa
(Yoh. 18:33-38). Kwa hiyo, Ufalme wa Papa umepata mamlaka yakekutoka kwingine, si kwa Mungu (Ufu. 13:1,2; 12:9). Hii ndiyo
maana wanaouunga mkono wataangamizwa pamoja nao. Serikali zoteza kisiasa za dunia zimepewa mamlaka yao na Mungu (Rum. 13:1-7;1 Tim. 2:1-6). Kwa ajili hiyo zinawaadhibu wahalifu na kuwasifu
raia wema. Ufalme wa Papa unawaua watu wema (watakatifu) nakuwaacha hai wahalifu (Dan. 7:21).

KIGEZO 4: PEMBE NDOGO ILITAWALA KWA MIAKA 1260 (Dan. 7:25).

Wakati mmoja ni sawa na mwaka mmoja. Kwa hiyo wakati 1 +
2 + 1/2 = Nyakati 3 1/2 = Miaka 3 1/2. Mwaka 1 una miezi 12.
Kwa hiyo, miaka 3 1/2 = Miezi 3 1/2 x 12 = Miezi 42. Mwezi wa
Biblia una siku 30 (Dan. 6:7; Mwa. 7:24). Kwa hiyo miezi 42 =
siku 42 x 30 = siku 1260. Siku 1 ya unabii = mwaka 1 wa
kawaida. Hivyo siku 1260 ni miaka ya kawaida 1260.

Angaliamaajabu! Mnyama yule wa Ufunuo 13:1-10,18 alipewa kufanya kazi
yake kwa miezi ile ile 42 (Ufu. 13:5). Ajabu zaidi ni kwambaJoka lile Kubwa Jekundu la Ufunuo 12 linawakilisha Rumi ya
Kipagani iliyotaka kumwua Kristo kupitia kwa Herode (Ufu.12:2-5;Mt. 2:16) na tena linaiwakilisha Rumi ya Kipapa (Ufu. 12:6,14)
ambapo tunaona mwanamke (kanisa la Mungu la kweli) akikimbilianyikani kwa siku 1260 au miaka 1260. Kigezo hiki kinajenga
daraja ya kuitambua Pembe Ndogo ya Danieli 7 kuwa ni Mnyama yulekama Chui wa Ufunuo 13. Tabia zinalandana sana. Upapa
ulitawala kihistoria kuanzia 538 hadi 1798 B.K., miaka 1260kamili.

KIGEZO 5: PEMBE NDOGO ILIWAUA WATAKATIFU (Dan. 7:21,25). Zaidi ya watatifu milioni 50 waliuawa katika kipindi cha
utawala wa papa cha miaka 1260 kwa kosa la kufuata mafundisho yaBiblia. Aliwaita "wazushi" (heretics); Biblia inawaita
"watakatifu". Ni kweli upapa ulikuwa umelewa kwa damu yawatakatifu (Ufu. 17:6). Ni jambo la kushangaza mno kwa kanisa
kuua kanisa! Linganisha na Ufu. 13:7. Ni ufalme ule ule mmoja.

KIGEZO 6: PEMBE NDOGO ILIAZIMU KUBADILI MAJIRA NA SHERIA (Dan.
7:25).

Sheria ni Amri Kumi za Mungu (Kut. 20:3-17). Upapauliazimu kuifuta kabisa Amri ya Pili inayokataza ibada yasanamu. Angalia Katekisimu za Kanisa Katoliki pamoja na Misaleutashangaa. Amri ya Nne inayohusu Sabato akaibadili na kuweka
Jumapili badala yake. Kwa hiyo ibada ya Jumapili iliwekwa naPapa kinyume cha Amri ya Nne. Katika kitabu cha Ufunuo Jumapili
inaitwa "chapa" au "alama" ya Mnyama, yaani, Alama ya MfalmePapa (Ufu. 13:l6,17). Katika gazeti la The Catholic Record,London, Ontario, la Septemba 1, 1923 maneno haya yamenukuliwa:

"Jumapili ni alama yetu ya mamlaka.... Kanisa li juu ya Biblia,na uhamishaji huo wa utunzaji wa Sabato [Jumamosi] ni ushahidi
wa ukweli huo." Sasa zikawa zimebaki Amri 9, sio 10. AkaigawaAmri ya 10 katika amri mbili kufidia ya pili iliyofutwa kabisa.

KIGEZO 7: PEMBE NDOGO INANENA MANENO MAKUU YA MAKUFURU
(Dan.7:8,20)

Hapa tutaangalia makufuru mawili tu. Kufuru la kwanza nimadai ya kuwa yeye ni Mungu (Yoh. 10:30-33). Kwa vipi?

Nanukuu:

"Papa ana cheo kikubwa mno, tena ametukuzwa mno kiasi kwamba
yeye si mwanadamu tu, bali kama ilivyo ni Mungu, tena ndiyealiye Badala ya Mungu." ----- Lucius Ferraris, Prompta
Bibliotheca Canonica, Gombo la VI, uk. 438,442, chini ya makala
"Papa".

Cheo cha Mungu alichojinyakulia ni "Baba Mtakatifu"
(Yoh. 17:11). Kufuru la pili ni kudai kuwa anao uwezo wakusamehe dhambi jukumu ambalo ni la Mungu peke yake (Luka5:20,21). Mungu peke yake ndiye anayeabudiwa (Mt. 4:10); lakinipapa anataka aabudiwe (2 The. 2:3,4; Ufu. 13:4,7,8,12).Linganisha na Ufu. 13:1,5,6.

Ni mamlaka moja ile ile.

Mungu hataki watu wake wawe gizani kuhusu ufalme huu, japokwa sasa ulimwengu unauinua juu sana. Hatimaye utakapotawala
kama alivyoruhusu Mungu itakuwa kwa maangamizi ya ulimwengumzima na dunia itafikia mwisho wake (Ufu. 17:8-11; 6:14-17;
19:11-21). Watakatifu watakwenda mbinguni kutawala pamoja naYesu kwa miaka 1000 (1The. 4:16,17(18); Ufu. 20:4). Dunia hii
itakuwa imeharibika vibaya katika kipindi chote cha miaka 1000 (Yer. 4:23-27). Baada ya kwisha miaka 1000 watakatifu watarudi
hapa pamoja na Mji Yerusalemu Mpya (Ufu. 21:10). Ndipo waovu
watakapofufuliwa na kujaribu kuuteka Mji Yerusalemu Mpya au Kambi ya Watakatifu. Moto utawala (Ufu. 20:7-10,15). Hiyo ndiyo
Jehanum au Ziwa la Moto au Mauti ya Pili (Ufu. 20:14).

Jehanumhaiwaki sasa. Itawaka baada ya miaka ile 1000 kwisha.Watakaoingia humo watateketezwa na kuwa majivu pamoja na Shetanina malaika zake( Mal. 4:1-3; Eze. 28:14-19). Hawatafufuliwatena milele! Ndipo watakatifu watakapoirithi nchi mpya (Ufu.
21:1; Mt. 5:5; 2 Pet. 3:10-13; Zab. 37 yote).
 
Safi Sana Kwa uzi nzuri Sana. Kama huko nyuma kofia ya alama ya Mnyama 666 ilivaliwa na Papa. Wakatoliki wanashindwa kuoji Nani aliyekabuni kofia Ile na alikuwa na cheo gani huko Vatican na lengo Lake ni nini, je alikuwa ni mtu mmoja au kikundi . Kwa nini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa Kwa mbunifu wa Ile kofia. Badala yake tunaambiwa kofia ilipigwa marufuku, Kwa nini Ile alama ya Mnyama 666 ilionekana watu wakashtuka. Fikira huru inakuja baada kuwa unbiased
Mkuu nipo nyuma naomba utumie hyo kofia niiyone na mimi 😂 maana nipo nyuma kweli
 
Mwanamke (yule Babeli) wa Ufunuo 17 anaelezwa kuwa

“alikuwa amevikwa nguo ya rangi ya zambarau, na nyekundu, amepambwa kwa dhahabu, na kito cha thamani, na lulu, naye alikuwa na kikombe cha dhahabu mkononi mwake, kilichojawa na machukizo, na machafu ya uasherati wake. Na katika kipaji cha uso wake alikuwa na jina limeandikwa, Siri [2 The. 2:7], Babeli Mkuu, Mama wa Makahaba” [Ufu. 17:5, KJV].

Asema hivi yule Nabii:

“Nikamwona yule mwanamke amelewa kwa damu ya watakatifu, na kwa damu ya mashahidi wa Yesu.” Babeli anatangazwa tena kuwa ni “mji ule mkubwa wenye ufalme juu ya wafalme wa nchi.” Ufunuo 17:4-6,18.
ae7a1c4de023bbda2da0a25e30e725f6.jpg

Tyndale aliuliwa na utawala wa kipapa kwa kutafsiri biblia...

Mamlaka ile iliyodumisha utawala wake wa kidikteta juu ya wafalme wa Ulimwengu ule wa Kikristo kwa karne nyingi ni Roma. Rangi ile ya zambarau na nyekundu, dhahabu na kito cha thamani, na lulu, huonyesha waziwazi picha ya utukufu wake na fahari yake iliyozidi ile ya kifalme [angalia pia rangi za sare za viongozi na mapambo yao],
da95cf61b762f5a8bb3ffa13c0e24c5f.jpg

b601c77df03518a6574d5fdbdf97b1ea.jpg

mambo ambayo jimbo lile la Roma ( Vatikani), lenye majivuno makuu, lilijigamba kuwa nayo. Wala hakuna mamlaka [serikali] nyingine ambayo kweli ingetangazwa kuwa ilikuwa imelewa kwa damu ya watakatifu,” kama ya kanisa lile ambalo kwa ukatili mbaya sana limewatesa wafuasi wake Kristo.

Babeli pia anashtakiwa kwa dhambi ya kuungana isivyo halali [kuzini] na “wafalme wa nchi.” Ilikuwa ni kwa njia ya kujitenga mbali na Bwana, na kuungana na washenzi [wapagani], ndipo kanisa lile la Kiyahudi likageuka na kuwa kahaba [Soma Ezekieli 23]; naye Roma [kama kanisa], akifanya uasherati [ukahaba] unaolandana kabisa na ule na kutafuta msaada [kuungwa mkono] toka kwa mamlaka [serikali] zile za kidunia, anapata lawama iyo hiyo.

014c67cfdb1f454cb6ffad5c5931e2e5.jpg

2d74043e7497ad8b2d6a027cbaa597c5.jpg
Mambo ya Ufunuo maana yake yamefunuliwa na kuwekwa wazi. Lakini una unga unga maana mara uende kwenye historia na mapicha picha mara usome Ezekiel. Kwa mfano watu waliosoma Kitabu cha Ezekiel huo mstari ulioandika kabla ya Ufunuo kwa hiyo ndio kusema walitoka kapa?

Umeambiwa huyo ni mwanamke ameshika kikombe cha dhahabu na Lulu hizo Lulu ufunuo umekwambia zina maana gani?

Kitabu kinazungumzia Babeli Mkuu wewe unatwambia mambi ya Rumi??

Kitabu kinazungumiza Mwanamke mmoja mwenye mavazi ya zambarau wewe unatuletea hadaa picha za maaskofu 1000 wako kwenye mkutano?🤣🤣🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom