kimanganuni
JF-Expert Member
- Dec 14, 2015
- 325
- 172
Nimeuna mlango huu je ni mzuri kuwepo mbele?
Laki 4 na nusu pamoja na frem yake ie ilebya bati gumu mithili ya mbaoUmeuziwa bei gan mkuu
Mlango wa mbele .. dable doorMbele ya nini ?, frame ama nyumba ya kuishi?