Recent content by kimandolo

  1. K

    Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

    nimemwona lusinde karikoo mtaa wa agrey, aliikimbia kambi arumeru sasa wanajipanga kupeleka ripot kwa boc wao mukama, mh. sita na mama kilango nao wapo hoi kwa kupoteza kata walizoenda kuiba kura
  2. K

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    source kabla cjafungua castle lite yangu plz?
  3. K

    Idara gani za serikali/binafsi zinaruhusiwa kutumia dola?

    Immigration head office, dar
  4. K

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    mama spika ni kilaza sana kwenye mambo ya law, pili prf. KABUDI, gwiji wa law, AMEMPOTOSHA MAMA SPIKA NA WABUNGE WALIOMSIKILIZA KWENYE SEMINA YA JUZI, AMEPOTOSHA UMMA KUTOKANA KUCHUMIA TUMBO LAKE, HAJAELEZA UKWELI UNAOTAKIWA PRF. KABUDI WEWE NI MTU MWENYE HESHIMA NYINGI KWA WANAZUONI WOTE NA...
  5. K

    Kwa haya yanayotokea sasa Polisi wataisingiza tena Chadema?

    Siku za karibuni kumekuwa hali isiyokuwa na msingi wala mantiki yoyote, kwa baadhi ya maofsa wajuu wa jeshi la police kuilamu cdm kwa kila suala linalotekea hususani pale wananchi wanapohoji au kudai haki zao za msingi. UGUMU wa maisha ambao kwa sehemu kubwa umeshababishwa na serikali LEGELEGE...
  6. K

    Ndugu Julius Mtatiro: Naomba kuelimishwa..!!!

    mtatiro kwishney
  7. K

    Tupinge malipo ya rada kama tulivyopinga dowans(richimondi)

    nina mashaka sana na uelewa wa mh. MEMBE katika masuala muhimu yanayohusu mustakabadhi wa taifa hili na watu wake, M. MEMBE alipaswa kwanza alieleze taifa na bunge kwa ujumla wake ni ni haswa kilichotokea katika sakata la rada. 1. Aeleze uhusika wa tanzania na uingereza katika ununuzi wa rada...
  8. K

    Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

    duh hiyo ya sms ni kali ya wik, mama spika alisemaje alipoona ishu ambazo ni personal tena kwa mtu ambaye sio mbunge kuzumziwa bungeni! plz nipeni updates plz
  9. K

    Nchi yangu Tanzania kwa nini naipenda ikiwa chini ya JK

    ni nchi inayoongozwa na ****** akiwa angani kila baada ya masaa 6
  10. K

    Naomba countdown ya siku 90 za mapacha watatu

    Hamkijui chama cha magamba au! Jk mwenyewe ni msanii kubwa angalia kilichofanyika epa na richmond, matokeo yake amemwacha akina dr. H. Mwakiembe akisota kisisa na kimaisha wakati mapacha watatu wanapeta mtaani
  11. K

    Maduka ya watu wa Bara yachomwa Zanzibar; yadaiwa ni kampeni dhidi ya Muungano!

    POLENI SANA MNAOITWA WABARA HUKO ZENJI, HAWA JAMAA WANAOJIITA WAZENJI NAONA SAS UWEZO WAO WA KUFIKIRI UMEHAMIA TUMBONI BADALA YA KICHWANI, KUMCHOMEA MTU NYUMBA AU MALI ZAKE UNA MAHUSIANO GANI MUUNGANO? WATAFAKARI MARA MBILI NAJUA HAWA NDUGU ZETU WANZENJI HAWAUTAKI KABISA MUUNGANO ILA WASOME...
  12. K

    Zomea zomea yamwangukia Mwakyembe

    Dr. H. Mwakyembe (MP) ninavyojua mimi ni miongoni mwa viongozi wachache sana wachapakazi tuliokuwa nao, linalomkwaza mh. dr. Mwakiembe ni sera mbovu na siasa za chama cha magamba. Nyota yake iliwaka cku nyingi ila wakati wa sakata la richmond alithihirisha umakini wake kwa masilahi ya taifa...
  13. K

    Kikwete atajivunia nini baada ya kumaliza kipindi cha utawala wake?

    NI hivi majuzi tu nilikuwa natafari kwa kina ni lipi haswa lenye manufaa kwa maisha ya mtanzania lilofanywa ktk miaka ya 2005-2011 na serikali nikagundua kuwa ni Ujenzi wa CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM). ckuona jingine, wadau jf kama kuna jingine naomba kukumbushwa.
  14. K

    Wametusaidia fedha, sera, utaalamu: Tumeshindwa sasa wanatekeleza wenyewe!

    uchizi mtupu, HATA KUFAGIA NA KUZIBUA MITARO TUNASUBIRI MABALAOZI? Kweli hawa watu wanahaki ya kutuona cc na WEHU, I WISH WAFUNGUE KLINIC MAALUM YA KUPIMA AKILI ZA VIONGOZI WETU
  15. K

    Mukama awakana akina Nnauye; Hakuna atakayeshughulikiwa ndani ya siku 90!

    wamegundua kuwa gamba limeshikana na mfupa wa uti wa mgongo, hureeeeeeeeeee cdm
Back
Top Bottom