Idara gani za serikali/binafsi zinaruhusiwa kutumia dola? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Idara gani za serikali/binafsi zinaruhusiwa kutumia dola?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Jan 20, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Niliuliza mwaka jana juu ya tatizo ka uchumi wetu hasa ni nini? Majuzi nimemwagiza ndugu yangu aniangalizie vibali na vitu fulani hapo dar. Amekuja na kunipa quotes jatika dola. Nikauliza kwa hela yetu ni kiasi gani hakuweza kukumbuka mara moja.

  Nikawa nafuatilia malipo ya mwingine hapo Kampala University. Original quote was in Tanzanian Shillings but when the time came to make payments akatakiwa alipe kwa dola kiasi ambacho hakikulingana kabisa na ile hela ya madafu.

  Kuna tatizo gani la kutumia shilingi? Kama dola inaakisi haki yetu ya kiuchumi why not peg our money to the dollar? Au tuamue tu kuwa dola ni legal tender kwa malipo yote nchini na mahali popote. Tunaweza hata kuamua kuita shilingi yetu "dola" kama itatufanya tujisikie vizuri.

  Otherwise, are we screwed or what!?
   
 2. Mihayo

  Mihayo JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 270
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  MMK Tatizo ni stability ya pesa yetu kwani sisi waagizaji tunanunua kwa dollar sasa wenda wazimu wachache waaliopewa dhamana kwenye nchi hii wanashirikiana na wahuni wachache hucheza na hiyo dollar. In such away that we opt to sell in dollar kuogopa kupata hasara. Pia with the current inflation situation you can not rely on Tanzania Shilling.
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Wengine wanauza maji ya kilimanjaro kwa Dola. Agrr
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  purchasing power parity inatuelekeza cha kufanya lakini ndulu na mwenzake mkulo wanapunga viyoyozi tu kwenye mavx..vyeti vyao ninavitlia shaka..
   
 5. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #5
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  sijajua kuhusu taasisi nyingine ila ktk elimu kwa mujibu wa ndg kawambwa (W E) alisema ni marufuku malipo ya dollah ktk taasisi za elimu nchini kuhusu iyo issue ya kampala usemacho ni kweli mkuu ukirejea ktk kitabu cha tcu ukurasa wa 60 unaonesha ada italipwa in Tsh mfano anayesoma public admistration ada yake ni ml 2 na elfu ishirin na mia tatu themanini tu lakini unapofika chuoni hapo mambo yana change hawatambui malipo ya Tsh. Mwanafunzi kwa mwaka anakatwa zaidi ya 1700 dollah tena kwa rate ya 1700 ambapo inakuwa ni zaidi ya ml 2 laki nane na tisini elfu, wanafunzi mwezi wa 3 mwaka jana walienda hadi ofisi ya waziri wa elimu akasema atashugulia lakini mpaka leo kimya ofisi ya waziri mkuu walitia neno nao mpaka leo wamekuwa kimya zaidi zaidi wanawatuma wafanyakazi wao wa tcu kuja kuwahamasisha wanafunzi wawe watulivu na wasiwe na fujo...
  Pia wanasomesha na askari polisi bure ili linapotokea jambo wawe wepesi kuzuia mfano maandamano....
  Mbali na tozo hizo ambazo tafsili yake ni wizi shiriki na serekali lakini jamaa wamekuwa ovyo ktk kutoa elimu mfano tangu likizo ya x mass na new year mpaka leo hawajawahi kuingia madarasani na kufundisha....
  Kuna mgomo wa walimu haieleweki kuna nini kinaendelea pale baina ya uongozi wa chuo kile na serikali ?
  Kama sio rushwa ni nini maana sio kwamba serikali kuu hawajui wanajua sana.
   
 6. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #6
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mimi nimemlipia mdogo wangu ada hapo IFM kwa Shs, sasa sijui mwaka wa pili nitatakiwa kulipa $$$ au Shs. Hali inatisha Tanzania
   
 7. Ochu

  Ochu JF-Expert Member

  #7
  Jan 20, 2012
  Joined: May 13, 2008
  Messages: 972
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nenda TCRA uone
   
 8. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #8
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Siku hizi hata watu binafsi wanataka kulipwa lwa USD!!
   
 9. m

  mariantonia Senior Member

  #9
  Jan 20, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pale ERB (ENGENEERS REGISTRATION BOARD) shilingi haipokelewi
   
 10. w

  wikolo JF-Expert Member

  #10
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 801
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli ni aibu. Nakumbuka kuna wakati fulani nilipita pita maeneo ya posta nikiwa natafuta laptop na kwa kweli maduka mengi niliyotembelea yalikuwa yanakutajia bei ya bidhaa zao kwa dola. Na hata lebo za bei zilizokuwa zikionyeshwa kwenye bidhaa hizo zilikuwa zimeandikwa kwa dola. Kwa jinsi ninavyofahamu mimi, fedha nayo ni moja ya vitambulisho vya utaifa wa mtu na kwa lugha nyepesi ni kuwa, utaifa wetu ndo tunaupoteza hivyo!
   
 11. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #11
  Jan 20, 2012
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mwanakijiji,

  Heri ya mwaka mpya na christmas ndugu yangu. Unakumbuka siku moja tulikuwa tunajadiliana kuhusu uchumi wa nchi hii nikakuambia hii nchi bila ya strong fiscal policy we are screwed???? Kinachoendelea sasa ni usanii tu but tatizo hasa la uchumi wa nchi liko katika fiscal policy ya nchi hii. Kuanzia ukusanyaji wa kodi, usimamizi wa kodi zetu, matumizi ya sarafu nchini, serikali kukopa kiholela, matumizi makubwa ya serikali na hadi corruption.

  Dollarisation ni jambo nalikemea na nitaendelea kulikemea kwani lina impact kubwa katika uchumi wa nchi. TRA watu wanalipa kwa dola, shule zinalipwa kwa dola, kodi ya nyumba inalipwa kwa dola. WHERE IS THE DEMAND FOR OUR TANZANIAN SHILLINGS!!!!!! Worse enough matumizi ya dollar nchini yamesababisha kwa kiwango kikubwa hata kupanda kwa mfumuko wa bei nchini ukiongeza na kupanda kwa gharama za maisha pia. Kwani foreign currencies demand ni kubwa kiasi wale wanunuzi wa vitu vya kuimport wananunua kwa gharama ya juu na gharama ile inahamishiwa kwa mnunuzi kwa kununua vitu kwa bei ya juu. Hii nchi sometimes nasema unatamani ufukue ardhi upige kelele ikuzike hakuna mtu anajali kabisa!!!!!!

  Utaumiza kichwa mzee mwenzangu tusubiri tukishadefault kama greece au kuyumba kabisa kama Zimbabwe tutaulizana maswali mengi sana!!!!
   
 12. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #12
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Kuna Hospita hapa Masaki Dar es salaam inaitwa Trauma, ukifika hapo hakuna tofauti na menu za MacDonald maana utakuta hapo mapokezi bango kubwa limeorodhesha huduma zao zote na bei zake kwa dollar. very interesting!!
   
 13. Z

  Zion Train JF-Expert Member

  #13
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 503
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  usilogwe ukaenda tibiwa hapo kama hauna bima ya afya, pesa utakayolipa masaa machache ya matibabu, magwepande ushasimamisha kibanda, dola dola kila sehemu dola, na mbaya zaidi Serikali yenyewe ndiyo imeanzisha huu mchezo wao wa dola, TRA kila kitu dola kwanza, kisha ndiyo kinapelekwa kwenye shilling, na wanaangalia bei ya dola ya siku hiyo ndiyo ulipe shilling. bora tu kama alivyosema Mwanakijiji shilling zetu tuziite nazo dola
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,278
  Trophy Points: 280
  Mdondoaji nimekusoma, lakini hili la kumtakia heri ya christmass Mzee Mwanakijiji mwezi huu Janualy naona kama ni mapema mno kuliko maelezo, angalau ungesubili mwezi November mwishoni ndio huwa tunaanza Greetings season.
   
 15. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #15
  Jan 20, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,204
  Likes Received: 264
  Trophy Points: 180
  Jengo la Ubungo Plaza si kuna Ofisi za serikali? Kaulize Pango wanalipa kwa kutumia shilingi ya Tanzania? Sina hakika na Ofisi zingine zilizopo pale kama Law School, Fair Tribunal n.k lakini walau nina uhakika na zile za Tume ya Utumishi wa Umma kuanzia Ghorofa ya 5 hadi ya 8 wanalipa kwa dola. Bunge linajua, Kamati ya Cheyo PAC inafahamu, imeuliza mara nyingi lakini mwisho wa siku mambo yamebaki yale yale.
   
 16. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #16
  Jan 20, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee Mwanakijiji na wachangiaji wa hii thread!
  Msiumize vichwa vyenu bure matatizo yalianza na lile Azimio la Zanzibar. Kwa kuwa Watz wana very short memory hakuna kujali. Viongozi wengi ama ni wamiliki wa hizo Biashara au wana hisa. Unfortunately they never declare their interest as per the laws of the country. Sheria imekaa kimya ambacho kinakatazwa ni kubagua Tshs yaani ndiyo legal tender. Haijalishi you can put your prices in Usd but as long as you freely convert it to Tshs wakati unalipwa then kisheria it's ok! And this is what is killing our economy! Kwa mfano invoice wanatuma tanesco wake independent power producers : IPTL, Songas ,Aggreko na Symbion they are in Usd ! Hiki ni kichekesho you can't make any business kwa sababu depreciation ya Tshs vs Usd haiwagusi hawa mafisadi. Benno Nduluu alikuta Forex control ilikwisha futwa enzi za Yule Alhaji Mwnyi aka Ruksa. Let us go back and introduce forex control hata India wanayo, just go to India they will never accept your Usd you have to go to the Bureau de change na Kule lazima unakatwa kaasilimia kusaidia masikini tena wa India.Tangu zamani ianze Dstv mpaka Leo bei ni Dola niseme nisiseme charges pale TICTS ni Usd ila tu wanakupigia bei by converting into Tshs. Bila kufanya uamuzi mgumu wa kuanzisha Occupy Magogoni tena kwa peoples power this shall remain kelele ya mango haimnyimi usingizi JK and who cares? Akitoka pale Katiba inamlinda hakuna kushtakiwa you don't need a fictitious mjadala wa Katiba !
   
 17. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #17
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu funguka kidogo hapo unikumbushe hayo mambo!! Tanzania tuna uchumi uchwara! Zile hesabu za PPP ikiziweka naona mambo yatakuwa mabaya kwetu!
   
 18. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #18
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu nina shaka pia na haya makampuni ya simu!

  Kwa sababu ya instability of our madafu, sheria za biashara zinakuambia uingie mikataba yako kwa kutumia strong currency ili usije ukatumbukia kwenye exchange loss mkuu. Ndio maana watu wengi wananunua vitu vyao hasa imports kwa dollar na wanauza kwa dollar kuepuka mkurupuko wa shillingi yetu!
   
 19. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #19
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mapango yote hapa town ni kwa dollar mkuu! sq meter/$ ndiyo quotation yao! wao walishasahau kitu kinachoitwa shilingi!
   
 20. k

  kimandolo Member

  #20
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Immigration head office, dar
   
Loading...