Nchi yangu Tanzania kwa nini naipenda ikiwa chini ya JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchi yangu Tanzania kwa nini naipenda ikiwa chini ya JK

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mambomoto, Jun 24, 2011.

 1. m

  mambomoto JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Kwa sababu zifuatazo

  1. Ni nchi yangu ambayo ukiongelea Ufisadi unahatarisha amani na utulivu.
  2. Ni nchi ambayo rasilimali za nchi zinaibiwa mkihoji kwa nini mtaambiwa mnahatarisha amani na utulivu
  3. Ni nchi ambayo milipuko kambi za jeshi inaua raia mkihoji mtaambiwa mnahatarisha amani na utulivu
  4. Ni nchi ambayo viongo wanakwiba mali za umma kwa wingi mkiuliza mtaambiwa mnahatarisha amani na utulivu
  5. Ni nchi ambayo bunge chini ya chama tawala miswada inapitishwa kwa ushabiki wa chama na si maslahi ya umma ukiuliza unahatarisha amani
  6. Ni nchi ambayo Rais ameonekana kushindwa na hajui kwa nini watu wake ni maskini mkiuliza mtahatarisha amani na utulivu
  7. Ni nchi ambayo wezi kama wa EPA wanaambiwa warudishe pesa na mkiuliza mnahatarisha amani na utulivu
   
 2. k

  kimandolo Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni nchi inayoongozwa na ****** akiwa angani kila baada ya masaa 6
   
 3. a

  andry surlbaran Senior Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni nchi pekee duniani isiyo kua na rais
   
 4. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  nchi isiyokua na umeme wala maji ya uhakika. Viwanda na uwekezaji wa kweli hapa tusahau, tutaenda kuuona anakotembelea raisi au nchi jirani
   
 5. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nchi ambayo ni shamba la bibi,wageni wakitakakuchukua madini,wanyama pori,magogo na gesi wanachukua kiulain tu.! Bila masharti.
   
 6. Mpendwa

  Mpendwa Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi pekee ambayo serikali ina mzigo wa kuwazika kwa nguvu hata ndugu wa marehemu "majambazi" kwa kudaiwa walivamia mgodi lkn wezi wa mabilioni ni watuhumiwa tu walisahaulika!!!!!!!!!!!!!!!!!!

  Du!!!!!!!!!
   
 7. p

  plawala JF-Expert Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 627
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi ambayo waziri mkuu anaweza kuongea bungeni kitu chochote,hata uongo
   
 8. N

  Ndechishika New Member

  #8
  Jun 25, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nchi ambayo asilimia themanini ya wananchi wake hasa waishio vijijini ni mbumbumbu wasiojua kusoma na kuandika na ndio hao wanaorubuniwa wakati wa chaguzi. Ukiuliza unahatarisha amani na Utulivu.
   
Loading...