Hapa patamu, sijui mke wake hoyce temu analiajee sasa hivi, maskini uwiiiiiii, na kazaa nae uyo ruby ngeleja........ Amezoea kutembelea W NM sasa T 000 BZZ
Sinza kwa remmy, muimbaji remmy ongara, sinza makaburini kuna makaburi, sinza vatikani kuna bar, sinza kijiweni kulikuaaga na kijiwe, sinza madukan inajieleza yenyewe
Uko sawa kabisa wanaume weng wa kisukuma akipata msichana mkali mbona anababaika ili aonekane nae yuko tayari kumpa ata gari nyumba, wana msemo wao mmoja noo shida noo tabuuu
Kaka inaonekana hukuonyesha sana ujuzi ile siku ungepiga kazi kikweli mtoto angekaa sawa kabisa next tym angekupa mzigo, iyo siku ya 2 akikupa mzigo jitume sana ndo heshima iyo ya mwanaume
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.