Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma

Hata akidondokewa, ajue hadondokwei peke yake, na kwa jinsi wanavyoenzi na kujua kodondokea mwanamke/msichana anaweza amini yuppo mwenyewe kumbe hayuko peke yake
kha mbona unaniogopesha jamani.
 
Kwa mda mrefu nimekuwa nikiwatafakari kaka zangu wakisukuma, haswa walio kulia vijijini na sasa wapo mjini na pia mambo yao ni mazuri kwa kulingana na backgroung zao, kitu kimojaninachongundua wanashoboka sana na wadada haswa ambao wanaonyesha kuwa wa matawi ya juu au majina makubwa mjini ( sitaki kutolea mifano ya kaka zangu marehemu wa kisukumawaliokuwa na majina na wamefia kwa sababu ya wanawake)

Anaweza kuwa anajua tabia mbaya za mdada lkn yupo tu, ilimradi inampa sifa mbele ya wenzake kuwa na huyo mdada, itakama kwenye hayo mahusiano hayampi furaha ila sifa

Na mbaya zaidi wanaishia kuoana au kusogezana ndani... matokeo yake wanakuwa ni wanyoge sana kwenye ndoa maana wao ni wavumilivu na hawaachi bali wanaachwa.

Mara nyingi kitu ambacho huwa najiambia ni kwamba the wife has given him a favour to be with her.

Mimi kama mmojawapo wa kabila hilo nakubaliana na wewe 100%. Tuna ki-aina fulani cha ulimbukeni na tunajua hilo ila hatupendi kukubali ukweli kuwa tuko hivyo!
 
kha mbona unaniogopesha jamani.

Acha woga mrembo, heshima ikitangulia mapenzi unayapata mpaka ya chobe=yaliyojificha. Ukijidai kwa kuwa tu unapendwa na unafikiri wewe ndo wewe :yell:, dharau zikaanza:washing:, atakupenda na wala hutokuwa peke yako
A%20S%20kiss.gif
, utabaki kuwa mmoja.
 
Mi msukuma mbona sishoboki na hao wadada....usiangalie watu wawili watatu uka-justify behavior ya ya kabila furani kumbuka kuna wasukuma rika nyingi na wanatofautiana katika nyanja mbalimbali....usiwe mbumbumbu wa kufikiri na kufanya research tembelea maeneo mengi ya usukumani kuanzia Geita, sengerema, Mwanza jiji, Shinyanga mpaka Bukene uone utofauti wa kabila haya japo utashangaa shinyanga na Tabora ni wanyamwezi lakini kwa akili yako utasema wasukuma
 
Dah kautafiti kako kakovery biased actually umekutana na watu wachache wa type hyo!
Kunamsemo mmoja wakisukuma unasema hivi " mashimbe mawa, tukukamila lingi" hapa mwanaume wakisukuma ukimletea pozi anaachana na wew kwan wanawake anawachukulia kama mbwa ukiondoka anaenda kwa jirani anachukua kinda analikuza bila shida, wanawake ni wengi ukiondoka anachukua mwingne.
 
Mimi kama mmojawapo wa kabila hilo nakubaliana na wewe 100%. Tuna ki-aina fulani cha ulimbukeni na tunajua hilo ila hatupendi kukubali ukweli kuwa tuko hivyo!

Jiongelee mwenyewe. Hivyo kama wewe ni limbukeni usidhani na wengine ni malimbukeni kama wewe.
 
Mi msukuma mbona sishoboki na hao wadada....usiangalie watu wawili watatu uka-justify behavior ya ya kabila furani kumbuka kuna wasukuma rika nyingi na wanatofautiana katika nyanja mbalimbali....usiwe mbumbumbu wa kufikiri na kufanya research tembelea maeneo mengi ya usukumani kuanzia Geita, sengerema, Mwanza jiji, Shinyanga mpaka Bukene uone utofauti wa kabila haya japo utashangaa shinyanga na Tabora ni wanyamwezi lakini kwa akili yako utasema wasukuma
Yaani hii nasema kwa kuangalia hata watu wazima walio kwenye mahusiano
 
Tangu nimesoma hi thread nilikuwa nawiwa kuchangia nikawa nasita sas nimesukumwa.hii mada ina ukweli ndani yake nina marafiki zanu watano wanaolea na wasukuma mwaka huu na kuna siku nilimuliza mtarajiwa mmja why mostly men wanaoa sa hii ni wasukuma hakuwa na jibu.nimesema mostly na kile mtu ajiulize harusi ngapi amehudhuria kwa mwaka akakuta bwaharusi msukuma?
 
Uko sawa kabisa wanaume weng wa kisukuma akipata msichana mkali mbona anababaika ili aonekane nae yuko tayari kumpa ata gari nyumba, wana msemo wao mmoja noo shida noo tabuuu
 
Wanaume walio wengi wa kisukuma ni wapole sana, hawana makuu. Kuna kitu nimegundua wanawake wa kichaga wanapenda sana kuolewa na wanaume wa kisukuma.
 
Wanaume walio wengi wa kisukuma ni wapole sana, hawana makuu. Kuna kitu nimegundua wanawake wa kichaga wanapenda sana kuolewa na wanaume wa kisukuma.

Pia Wasukuma wanapenda kuoa Wachagga ndio maana INAWEZEKANA.
 
Back
Top Bottom