Hongera Captain Hilda Wendy Ringo

Nawai

Member
May 30, 2012
35
10
Napenda kutoa pongezi kwa dada yetu, rafiki yetu Captain Hilda kwa kujifungua mtoto mzuri kabisa wa kiume leo huko USA. Mama na mtoto wote wako salama na tunawaombea afya tele na furaha.

Naomba kuwasilisha
 
welcome to the world baby AICHI! Congrats captain Hilda! may the ALMIGHTY AKUPE NGUVU HARAKA, NA MTOTO AKUKUZIE! AMEN!
 
Ni binti kijana, mzuri wa sura na ana akili balaa! Ni rubani wa ndege, kati ya wanawake wachache watanzania.Majuzi tu nilikuwa nashangaa kapotelea wapi. I'm so proud of her kwa kweli!
Ok, nilikuwa nimeduwaaa. Hivo ni celebrity?
 
....Aliishapata u-Captain? Last time I checked, she was still a First Officer??
 
Kila shetani na mbuyu wake, wanaume ndo nachowapendea, hata kama angekuwa ndiye aliyevumbua ndege lazima angefumuliwa na kupata kibendi. Hongera zake mdada ila pongezi nyingi kwa huyo kidume! Saaaaafi!
 
Napenda kutoa pongezi kwa dada yetu, rafiki yetu Captain Hilda kwa kujifungua mtoto mzuri kabisa wa kiume leo huko USA. Mama na mtoto wote wako salama na tunawaombea afya tele na furaha.

Naomba kuwasilisha
baba anaendeleaje?
 
"Captain" wa hizi bogus airlines za Kinaigeria zinazopata ajali kila mara na kuanguka na kuua passengers na crew wote? Halafu huyu mdada hakumtendea haki fiance wake wa Kihaya ambaye mwaka jana alim-dump kupitia statements kwenye blog ya yule malaya wa Dubai. Ni noma sana jinsi alivyomdhalilisha jamaa kwa kuvunja uchumba in public utadhani yeye ni mtu mmoja muhimu sana kwenye jamii au superstar fulani.

Hivi ni kwa nini hawa aviators wa Kitanzania wanakimbia job market ya nyumbani, wakati wageni wame-dominate kwenye sekta ya aviation Bongo? Jee, wanaonewa na kupewa inferior compensation in their own country ukilinganisha na Wazungu na wageni wengineo? Or what exactly is the problem?
 
Zamani mbona, sasa anapaisha ndege kwa raha zake.
Mtoto kabarikiwa sana yule


...Mkuu, hata alipokuwa First Officer, kwa maana ya Rubani Msaidizi, alikuwa anapaisha ndege kwa raha zake. Nilichotaka kujua ni lini alipanda cheo kuwa 'Full Captain'...
 
Back
Top Bottom