Rugambwa31
JF-Expert Member
- May 13, 2009
- 226
- 73
Hivi hawa wanaosomaga seminari kuna siri gani? kutoka div one pwenti seven hadi two , kuna jamaa alikuja shule yetu(
Milambo Wanaume) na pwenti saba zake kutoka maua kichwani alikuwa mupu hadi walimu wakawa wanamtania muuza feki.
Jamaaa umenichekesha kweli kaka.