Having sex on the first date

Wenzako kuingia geto tu aghaaa mhhhh ndo miguno inanza hapo hata mlango unasahau kufunga.Sasa we unampeleka unanza story kweli wanaume tumetofautiana
 
kuna kipindi wakati nipo IFM miaka ya 2004 tulikuwa room tunapiga book, ikatokea demu mmoja akaungana na kampani yetu siku hiyo wala tulikuwa hatumjui tukapiga book hadi mida ya mid night demu akachoka na akaomba kulala, kulikuwa na watu wamelala tayari so akaomba tu alale kwa mshikaji kiaina halafu atachomoka....kilichhofuata ni Sex mpaka kukacha wala walikuwa hawajuani..kesho yake ndio wakaanza kutongozana...
 
Naomba galz wanisaidie,hv n vizur kufanya mapenzi on your first date coz i am confused
Mbona hueleweki 1.we ni demu au mshkaji?
2. First date unamaana ndo mara yako ya kwanza kuwa in relationship siyo? Kama ni hivyo, no matter it's your first date or whatever, watu tunasex 2. Mpange tena, akija usianze na story, michakato then story baadaye. Ukishindwa basi endelea na upadri.
 
mimi ni mshikaji.sasa hataki kuongea na mimi na kila tunapokutana anasema hataki kuniona.
 
Naomba galz wanisaidie,hv n vizur kufanya mapenzi on your first date coz i am confused
HAINA SHIDA KAMA HAUJAVUNJA SHERIA ZA NCHI, however whether U do it on first day or after one year, the act is the same! kama mmependana na kukubaliana kwa nia ya kufurahia tunda, kwa nini mlete unafiki eti mpaka baada ya muda kupita ili ionekana si wahuni?
 
Sio issue as long as unajua unataka nini mkuu, na unamuonaje huyo mwenzako
 
haiko hivyo,mwanamke lazima lazima ujue kunata ili upime penzi lenyewe ni la aina gani kwani ukisema umkubalie kila mtu at frist site utatembea na wangapi, ili upate nini na kwa muda gani. mwanamke silka yake kutulia na anasifiwa sana anapokuwa na minat kimtindo. mambo mengine ya sebene ni utundu tu kwani hata utumbo ukipikwa vizuri huwa unanoga. Pia siyo busara kwa mwanamke kutembea na kijivulana ambacho kikitoka hapo kinakwenda kusema mwingine ni mshamba unakuta ndo siku ya kwanza anajaribu. tulia tafuta mtu mwenye heshima zake. mdatishe sana kisha mpe dozi takatifu kama atakuacha. jamani hivi hamjawahi kumfunda mwali chumban? kama badoo basi wewe ni mdogo sana kwa haya ninayo kwambia.

dah........endelea kutoa eksiplanesheni!
 
Aiseee leo nimejifunza yafuatayo
....kipimo cha penzi kinapatikana kwa kunata(inabidi niende twisheni ya hii kitu)
...mwanamke silka yake kunata(hivi eee?!)
Hapo kwenye bold,nisaidie kidogo ukimkuta mkaka(48yrs)amekaa bar au sehemu yoyote na washkaji zake anawasimulia jinsi binti aliyekua nae ni mtamu na jinsi alivyompindisha etc etc huyo mtu utamuweka kwenye category gani labda?ni kivulana??????pls help gfsonwin
 
haiko hivyo,mwanamke lazima lazima ujue kunata ili upime penzi lenyewe ni la aina gani kwani ukisema umkubalie kila mtu at frist site utatembea na wangapi, ili upate nini na kwa muda gani. mwanamke silka yake kutulia na anasifiwa sana anapokuwa na minat kimtindo. mambo mengine ya sebene ni utundu tu kwani hata utumbo ukipikwa vizuri huwa unanoga. Pia siyo busara kwa mwanamke kutembea na kijivulana ambacho kikitoka hapo kinakwenda kusema mwingine ni mshamba unakuta ndo siku ya kwanza anajaribu. tulia tafuta mtu mwenye heshima zake. mdatishe sana kisha mpe dozi takatifu kama atakuacha. jamani hivi hamjawahi kumfunda mwali chumban? kama badoo basi wewe ni mdogo sana kwa haya ninayo kwambia.

This is logical, mwanamke akitoa day one basi hakuna mwanaume anayeweza kukutafuta tena. Lakini akikataa kataa basi mwanaume atajitahidi kwa kila namna ili mradi mpaka afanikiwe. Atakupigia simu hata saa 6 usiku muda ambao kuna kuwa na gharama ndogo ya kuongea. anaweza kuongea na wewe hata saa nzima bila kuchoka akiwa bado hajapata vitu. Lakini akipata tu atakuambia mimi siongeagi usiku, nakuwa nimelala saa 3. Wakati alipokuwa anakutaka anaweza kupiga hata saa 6 au saba usiku. Hivyo wanawake wanatakiwa kuwa makini sana na kutoa mapenzi haraka. Na ndo maana unasikia katembea na watu wengi.
 
she is unsure,anadhani labda unataka kumtumia.......endelea kumfatilia mpaka apate assurance ila usiende kwa gia ulizozianza,mualike dinner mtoe out cinema akuzoeee.......inaelekea kwake sex ni big deal sio kama mie kwangu sio ishu,having it on the first date or later on,doesnt make any difference to me.
 
Kaka inaonekana hukuonyesha sana ujuzi ile siku ungepiga kazi kikweli mtoto angekaa sawa kabisa next tym angekupa mzigo, iyo siku ya 2 akikupa mzigo jitume sana ndo heshima iyo ya mwanaume
 
Back
Top Bottom