Nifanye nini? Mke wangu ameijua user name yangu ya JF!!

Kwani unatumia kutongozea??

Kama uko msafi haina noma tena ndo atajua my husband is gudoo...:A S-fire1:
 
labda huwa anaropoka mambo ya ajabu kuhusu mkewe hapo ndo kazi ipo:heh:
 
chamsing ww mpotezeee endelea ili asijue ww una mwogopa mkeo kwani atakusumbua akijua una mwogopa kiviile mwisho wa siku hata chakula cha usiku atakubania
 
Sajaelewa mada hapa. Naona kama kuna vitu unaficha huku ukiomba ushauri. Kwanini unaogopa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom