Siku ya kwanza nafika kidato cha 5 nikapokewa na watoto wa olevel wakanifikisha kwe bweni nililopangiwa sababu hiyo shule ilikua unapangwa kabla hata hujareport, nimefika tu nikatoa malapa nikaoge nabadili nguo kugeuka hamna malapa wala ndoo vyote vimeibiwa[emoji3] [emoji3] nilichukia shule...
Wamenipima ndio na majibu yalionyesha kila kitu kipo Sawa nilipoanza kubleed nikienda hospital kuonana na specialist kabisa baada ya kuchukua vipimo na damu pia mkojo majibu yalikuja sina shida yeyote nikapima ultrasound Mara mbili tena trh 11 na trh 16 mwezi huu pia ikaonekana viable sijui na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.