Ni ipi dawa ya kuondoa tatizo la hormonal imbalance?

Mm ni mhanga wa tatizo la hormone inbalance na niligundua na ttzo hilo baada yakufanya vipimo kwa specialist ila dawa nilizopewa hazijasaidia chochote kubalance hormone zangu anaejua dawa zinazorekebisha haraka aniambie maana nashindwa kushika mimba kwa sababu ya hilo ttzo la hormone

Sent using Jamii Forums mobile app

Ushauri wa kwanza nikurudi kwa daktari wa kwanza maana ndo ana majibu ya Hormonal profile!
Ungetupa na majibu pia na ututajie hizo dawa labda na sisi tunaweza kukwambia huyo ni mbabaishaji?

Vipi siku unapata?

Anyways mpaka uwe declared Infertile lazima uwe umekutana na mme wako si chini ya miezi sita na lazima ujue siku sahihi za kudaka mimba maana kama hamjui siku nzuri za kudaka mimba kwa kutumia cycle mtakua mnafanya kazi bure.

Mpeleke na mwanaume akafanye Sperm Analysis hayo mambo ya kuwasingizia wanawake kuwa hawashiki mimba yashapitwa na wakati wakati mwanaume unakuta anatoa Sperms hazina mikia au ziko chini ya kiwango.
 
Kula Uwatu na ufuta kwa wingi mkuu. unaweza kusaidia sana. Ila uwe unafululiza kila siku.
 
Mm ni mhanga wa tatizo la hormone inbalance na niligundua na ttzo hilo baada yakufanya vipimo kwa specialist ila dawa nilizopewa hazijasaidia chochote kubalance hormone zangu anaejua dawa zinazorekebisha haraka aniambie maana nashindwa kushika mimba kwa sababu ya hilo ttzo la hormone

Sent using Jamii Forums mobile app
Usisumbuke bure Hospitali hakuna dawa ya kurekebisha Hormone imbalance nitafute mimi nipate kukupatia dawa ya kurekebisha Hormone imbalance.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Mm ni mhanga wa tatizo la hormone inbalance na niligundua na ttzo hilo baada yakufanya vipimo kwa specialist ila dawa nilizopewa hazijasaidia chochote kubalance hormone zangu anaejua dawa zinazorekebisha haraka aniambie maana nashindwa kushika mimba kwa sababu ya hilo ttzo la hormone

Sent using Jamii Forums mobile app
Mamy nenda kairuki hospital ukaonane na Doctor wa wakinamama atakusaidia
 
Mm ni mhanga wa tatizo la hormone inbalance na niligundua na ttzo hilo baada yakufanya vipimo kwa specialist ila dawa nilizopewa hazijasaidia chochote kubalance hormone zangu anaejua dawa zinazorekebisha haraka aniambie maana nashindwa kushika mimba kwa sababu ya hilo ttzo la hormone

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitumia dawa Gani mwanzo?
 
232104950_2606070049700600_5045864993599623383_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom