ni kweli kama huku isyesye jana ulikatika kutoka asubuhi mpaka jion then jion ukarud kwa muda usiozidi saamoja na nusu then ukakatika tena mpka usiku wa karibu saa4
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Ni sawa kabisa lakin asiweke kichwan kwamba wale watu wanaobuy na kusell kwenye meta trader tu ndio wanaamua movement ya soko hlo ni broadterm kubwa sana ambalo limeinclude transactions za export and import katika currency husika kiwango cha mishahara kinacholipwa kwa foreigners na wenyej mambo...
Kwenye huo mfano wa chakula nikwamba supply ya huyo mama ya chakula ni kubwa kuliko demand ambayo inamaanisha kuwa uyo mama atatkiwa kuuza chakula kwa bei ya chin kidogo ili amalize sasa suply ikiwa kubwa kuliko demand ndio inashusha thamani ya chakula lakin kwa upande wa demand sasa kama ilivo...
Hujamuelewa mtoa mada pia hujaelewa mesej nzima pia umetumia akili ndogo sana kufikiri vitu haviwezekan
We may come with the phone greater than that iphone pro max 20 hhhh
Umetumia lugha nzuri kuwasilisha ujumbe wako inaonyesha wewe ni mtaalamu wa lugha na uwasilishaji wa jumbe hongera kwa uwezo huo lakin pia ulichokiandika hujawianisha walaji ni waliopita au waliopo? Lakin labda kama sijakuelewa vzr ila nahis nimeelewa kuwa walaji ni ambao hawako kwenye kigoda...
Jamani nahitaji kujua ratiba ya daftari la kudumu la wapiga kura ratiba yake ikoje niwazi kuwa saahiz tokea tarehe 17 mpka 24 mwezi huu wameanza arusha na Kilimanjaro je sehemu nyingine kama njombe na iringa itakuwa ni mwezi upi au ni tarehe zipi jamani tunahitaj tupate vitambulisho ili...
Kwasababu course ya mechanical ni wide sana najua mmesoma vitu vingi ikiwemo uchomeleaji yaani (welding) mmesoma design za machine mbal mbal pengne mkawa mnadesign kwa kutumia software kama solidworks/AutoCAD so unauzoefu sana na cha kukushauri mm kulingana na uzoefu wa hayo mambo hapo funguen...
Jamani mimi mwanafunzi hapa Arusha lakini nimeona kuna fursa hapa kwenye metal works workshop yaani kuunda maget, metal beds, majiko ya chuma yaani tuwe madesigner fulani wa vitu vya kisasa ikiwepo kutengeneza milango ya chuma frames za madirisha kazi za kuchomelea sasa namimi.
Ufundi sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.