Metal works electrical workshop

kim jung shik

Senior Member
Mar 26, 2014
125
195
Jamani mimi mwanafunzi hapa Arusha lakini nimeona kuna fursa hapa kwenye metal works workshop yaani kuunda maget, metal beds, majiko ya chuma yaani tuwe madesigner fulani wa vitu vya kisasa ikiwepo kutengeneza milango ya chuma frames za madirisha kazi za kuchomelea sasa namimi.

Ufundi sijui ila kwasababu nina wazo najua ninaweza kupata fundi mmoja mzuri tu anaejua kuchomelea vitu vzr na anauzoefu kutoka huko mikoan ila tutaelewana tutalipana vipi lengo la kuja hapa ilikuwa niulize mtaji mnlinimum shingapi ambayo inatakiwa niwe nayo au kama kuna mwenye uelewa vifaa vyote muhimu kwa kuanzia ambavyo vinahitajika kwenye hyo Biashara na ushauri wowote ambao mnaweza kunipa ni matumaini yangu kupata majibu yaliyokamilika kutoka hapa ninaliamin sana hili jukwaa msaada wenu kwa future ya mdogo wenu asantn jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom