Recent content by Killuminati

  1. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Rashid Ali Meli alitoa fedha za serikali kwa siri kufanikisha safari ya Nyerere UNO 1955

    Shukrani kwa ufafanuzi Mzee wangu.
  2. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Historia ya Julius Nyerere, Sumbawanga 1959 kwa maneno ya Dkt. Mzindakaya

    Sasa point ya Mzindakaya hapa ni nini? Ok sawa alikuwa kule. Tunashukuru.
  3. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Tunamkumbuka Mzee Rashid Mfaume Kawawa aliyetutoka tarehe 31 desemba 2009

    Andiko murua. Hongera.
  4. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Rashid Ali Meli alitoa fedha za serikali kwa siri kufanikisha safari ya Nyerere UNO 1955

    Mzee Mohamed hebu fafanua. Nani alitoa pesa, Rupia au Meli? Nini kilijiri?
  5. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa Maisha ya ndege JOHN

    Kwa kweli sikutegemea uendelee hivi, nimeipenda spirit yako. Mungu akushike mkono
  6. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Kutoka maktaba za kijeshi

    Article murua, kuna kitu kimeniingia kichwani sio sawa na kukaa bure. Msahihishane kwa staha wadau.
  7. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Dar Lux ruti ya Mwanza-Dar muache ubabaishaji

    Don't get your hopes up. Darlux ni hovyo kabisa. Twice wamenilaza njiani na wana lugha mbovu kwa wateja. Wajifunze kwa metro, scandinavia, etc.
  8. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Presentation ya Dr Rioba Sweden uko very poor

    Yaani nimeona aibu kama nipo pale.
  9. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyofanikiwa kununua pikipiki

    Mimi ni tomaso bado juu ya hili ila nimejifunza kitu hakika. Nitaifanyia ubunifu zaidi.
  10. Killuminati

    JamiiForums Tanzania CEO wa Vodacom aliyeteuliwa toka Kenya anyimwa kibali na Serikali. Aambiwa wapo watanzania wa kufanya kazi hiyo

    Najaribu kuvuta kumbukumbu juu ya wale madaktari wa kitanzania waliotakiwa kwenda kufanya kazi Kenya halafu pia nalinganisha na ule usemi kuwa mkuki kwa nguruwe tu...
  11. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Josephine Mushumbusi: Hongera Patrobas, Mwenye chama angegundua unahama CHADEMA, tungekusoma kama Ben Saanane

    Huyu sista vipi Huyu?. Stress za supermarket nini? Aendelee tu na maisha
  12. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

    Nimeona huruma. Ninatumaini yote asemayo ni kweli tupu. Mungu amlinde.
  13. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Viroba marufuku kuzalishwa wala kutumiwa kuanzia Machi 01, 2017

    Hii ni UA viwanda, au nimekosea?
  14. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Dudu baya atao povu baada ya kuambiwa amepigika na anakunywa viroba!

    Bongo dukina
  15. Killuminati

    JamiiForums Tanzania Dr. Kimei: Hatua ya Serikali kuhamishia akaunti zake BoT, itasaidia kupunguza mfumuko wa bei

    Kwa kifupi heshima itarudi town. Shukrani kwa wachangiaji. Kimei yupo sahihi juu ya mfumuko wa bei ila taasisi yake itayumba na wala asibishe hili
Back
Top Bottom