Dkt. Louis Shika aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi. Alitekwa na kukatwa Vidole, Tanzania ilimtelekeza...

Kuna mtu mmoja wa internet Cafe alisema Dr Luis alikuwa anakwenda sana kiufupi maelezo ya pesa aliyoyatoa yanaonyesha amekutana na matapeli wa mtandao ambao wanaweza kukwambia umeshida pesa kibao namna hile ya usafirishaji aliosema wa kulipia bima pesa niya kutapela badala ya money transfer cost ambayo wanaweza kukata kwenye pesa yako bila kutuma chochote, hivyo kwa hatua hii inahitaji mjadala mpana wa kusaidia watu wasiojua kadhia hiyo
Mbona alisema ana Kampuni urusi
 
Jamani kama kuna mtu yoyote anamjua mtanzania aliyekaa urusi na sio mlevi ajitokeze......maana mi nnawajua kama sita hivi wote wanakunywa pombe hadi kwa bili!!
 
36 Reactions
Reply
Back
Top Bottom