Kampuni ya Dar Lux ruti ya Mwanza-Dar muache ubabaishaji

Kampuni ya Dar Lux ruti ya Mwanza-Dar muache ubabaishaji

Ukipanda Dar Lux lazima ulale njiani kwa safari ya Mwanza Dar..
Biashara ta usafiri wa abiria ni biashara moja ambayo bado wamiliki wako karne iliyopita. Bado wako zile zama za kudhani abiria ndiyo anatakiwa kunyenyekea mwenye gari. Hawajali lolote kuhusu abiria. Halafu wafanyakazi wengi wa mabasi bado kabisa hawajui ni nini maana ya mteja. Hata yale mabasi yanajifanya yana exclusive service bado utakuta huduma zina upungufu mwingi. Wakiingia wamiliki wenye huduma standard kama nchi zilizoendelea watapata soko zuri sana.
 
Shida ni kwamba gari haziruhusiwi kusafiri usiku baada ya saa sita, sasa unakuta inayoenda Dar ndio imelala Shinyanga, so lazima msubiri apo, ije nyegezi, ioshwe na service inapobidi.
 
Wajinga sana watu wa ma bus.kuna kampuni nimeisahau.
Nilipanda bus tokea dodoma nikiwa na mtu fulani tuna bag size ya kati moja na kubwa moja pamoja na gunia nusu la mchele sasa badala wa charge lile gunia hela ya mzigo wakataka na zile bag tulipie ikabidi tu nilipie
Mjinga apo ni wewe uliyelipa. Wao ndyo wajanja.
 
Dar Lux zamani, sasa hivi lakisoro sana, linapita Dodoma saa 1/2 usiku, Pumbavu zao
 
nilitaka kupanda mwaka jana ila nikajikuta nmepanda KIDIA ONE kwenda nilienda na Lucky Star kama sikosei
 
Hii kampuni imekua na tabia ya kuondoka jijini Mwanza kuanzia saa tatu asubuhi karibia safari zote. Imekua ni tabia sugu mno.
Hili sio jambo la kiungwana.
Ni usumbufu kwa abiria na uharibifu wa ratiba za abiria.
kama kuna namna mamlaka ya usafiri inaweza kukomesha hili wanajamvi naomba muongozo ntalisimamia hili mpaka wanyooke.
ANGALIA WAMEANDIKA MDA GANI WANAONDOKA KWENYE TKT UKIONA AIJAONDOKA...TAFUTA NAMBA ZA SUMATRA WAPIGIE SAMBAZA MAZUNGUMZo uliojadilinayoo WASIJEKUGEUKA
 
Hapana boss,huyo anaitwa witness yupo ruti ya dar-arusha
Pole mkuu, Darlux wanabus nzuri sana juzi tu waliingiza Scania G7, Yutong 12+ na higer new model licha ya kuwa na bus mpya ila kwenye time keeping hawa jamaa ni zero kabisa.
Next time panda Kisbo/Kibo (a.k.a kirikiri generation) au Jm ya musoma hizi chuma zinajua kuthamini muda wa abilia, wenyewe wanakwambia hawataki kuharibu ndoa za watu kwa kuwalaza njiani[emoji1787]
 
KISBO sina hamu nao hadi leo. Lina sifa kibao ila ingia ndani utahisi umepanda gari za ushirombo.
Hahahaaa licha ya ubovu wa kisbo ndani ila kila siku linatoboa na kwa pale ubungo huwa linapark nyuma kabisa ila ndo la kwanza kuingizana nyegezi.
 
Don't get your hopes up. Darlux ni hovyo kabisa. Twice wamenilaza njiani na wana lugha mbovu kwa wateja. Wajifunze kwa metro, scandinavia, etc.
 
Hii kampuni imekua na tabia ya kuondoka jijini Mwanza kuanzia saa tatu asubuhi karibia safari zote. Imekua ni tabia sugu mno.
Hili sio jambo la kiungwana.
Ni usumbufu kwa abiria na uharibifu wa ratiba za abiria.
kama kuna namna mamlaka ya usafiri inaweza kukomesha hili wanajamvi naomba muongozo ntalisimamia hili mpaka wanyooke.
Kwaiyo ikifika saa tatu asubuhi hiii kampuni inaondokaaaa sasa ikiondoka huwa inaondokea wapi na ikirudi huwa inarudi muda gani
 
Huwezi ukalinganisha huduma ya Dar lux njia ya mwanza na basi nyingine yoyote ile kwenye njia ile kulala inatokea mambo njiani yamekuwa mengi sana but lazima **** sababu dar ni luxurious and comfortable bus to travel utafurahia safari kiyoyozi cha kuvaa suti utakipata pale na kila Aina ya huduma nzuri utaipata dar lux.
 
Huyu yupo route ya Arusha Mkuu.
Route hii huwezi leta upuuzi hata kidogo maana ina vyuma vya maana,ukizubaa tu una kaa nje ya Reli
Kilimanjaro express
Dar xpress
Tilisho
Extra
Tahmeed
Modern
N.k
Anawatoa taratibu yupo vizuri
 
Back
Top Bottom