Aisee hio coy. iko poa kabisa, haina shida yoyote, nimenunua gari mwakajana kwa $9000 ,
(nilikuwa na hofu kama wewe vile hawana ofc Tz, lakn sakura motors wenyewe walinifanya niwaamini maana walikuwa wanatransact mara nyingi na Watz nahasa wafanyabiashara wa mbeya hadi walinipa no.ya mteja wao...