ancillary
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 599
- 946
asante mkuu ila umepotea sanaUshawahi kuwa jinsi ya kutenganisha au kugawanya data katika excel ? yaani zilizoo katika column moja kuwa mbili ? Pata darasa kidogo hapa na nishukuru baadae...
Chagua column ambayo unataka kuigawa,
then nenda kwenye data----->> halafu utaona sehemu kwa juu imeandikwa text to columns click hapo
itatokea hivi
View attachment 547604
Then chagua delimited, kitakuja kituma kama hiki hapo chini. Fixed width yaani kutenganisha kwa upana fulani tutazungumzia siku ingine. Bonyeza next
View attachment 547607
Unaweza ukachagua kugawanya kwa kutumia space, semi colon, au alama yoyote ambayo ipo common katika column husika. Mimi hapo nimechagua kutumia dash yaani - utaona neno Jamii forums na number zimetengana. then click next
utapata kitu kama hiki hapa chini baada ya ku click finish
View attachment 547608
Nakaribisha maswali... Kama upo telegram usisahau kufuata link na kuingia katika group letu.
Link>>>>> Excel/SpreadsheetsTZ
Ethos.