TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

TANZIA Mohammed “Muddy Physics” wa Mchikichini afariki dunia

Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:

Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.

Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa.

Innallillah wainnallilah raajuni

Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini

View attachment 1624762
Marehemu hasemwi lakini mimi nitamsema.... Muddy physics alikua hamalizagi topics iyo ndio lilikua tatizo lake kubwa.... Mungu amuweke panapostahili
 
Daaah,,, rest in peace muddy guy!

Tuliosoma Azaboy late 90's tutamkumbuka sana!
 
Dah kumbe huyu jamaa wa University of Massachusetts Boston ametangulia, R.I.P muddy phy, ulifanya mechanics iwe simple sana
 
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:

Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.

Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni duniani huyu mtabe aliyewafanya baadhi ya watu kuwa tulipo hivi sasa.

Innallillah wainnallilah raajuni

Uzi kuhusu maisha na waalimu wa Mchinikichini

View attachment 1624762
R.I.P
 
Back
Top Bottom